Pages

Ads 468x60px

Saturday, December 31, 2011

HAPPY 2012.....

Nina kila sababu yakumshukuru Mungu kwakuniwezesha kuingia mwaka 2012........Kwa kweli MUNGU amekuwa mwaminifu kwangu tangu aliponitoa tumboni mwa Mama yangu mpaka leo hii nimeuona mwaka 2012 Duuuuu!!!! kwangu ni neema jamani!!!!!!!!!!!..........sina cha kumrudishia bali nashukuru.


Ahsante kwa wazazi wangu, Mume wangu, watoto wangu, ndugu zangu, marafiki zangu ,na wote tulikuwa kuwa pamoja katika safari yangu kwa namna moja au nyingine...... nawapenda sana maana nilipotaka kucheka mlinichekesha, nipolia hamkusita kunifuta machozi,nilipotakakuangua mlinisaidia kuinuka,nilipoleta ndoto zangu kwenu mlinisaidia kuomba nakufanya itimie,nilipotaka kucheza hamkusita kufungua mziki ili nicheze,nilipotaka outing za hapa na pale hamkusita kunikaribisha km mjuavyo napenda kula,kucheka,kucheza,mitoko ndo balaaa, na mengineo mengi yaani .....................mbarikiwe saana sana sanaaaaa!!!!!!!!


haya kwenu my HATERS yaani nyinyi mi nawapendaaaaa mbaya yaaani kwa asilimia kubwa yawezekana nyie ndo mmenifanya niwe hapa nilipo kwani challenge  zenu zinanipush vibaya mnooooo..........kwa sababu sipo tayari kuwapa ushindi na hamtopata  I say NO NO NO NO !!!!!! FORGET, Yes! am the best and i will still be the best............. endeleeni kukaa vikao vyeni vya kipumbavuu.........si kosa lenu anyway Rose mhando anasema walioshindwa wanamaneno mengi,jua likisogea nao wanasogea. hawajui kupambanunua nyakati.......................aawwwww!!!! that was my song for 2011!!!!!! yaani ushauri wangu wa bure mnapoteza Muda kushughulika na mimi........... mi wapande nyingine kabisaaaaaaaa. Well, sina haja yakujieleza sana coz you know am more than the best......... kwi!kwi!kwi! unabishaaa??????? haya we endelea kusaga lami............


Yes nimesema  hahahaaaa!!!! 



HAPPY NEW YEAR!!!!!!!

No comments:

Post a Comment