vurugu za mitaani na dont touch yangu............ iko comfy mnoo
mapozi ya kitaa
mdau wangu alinitumia picha na yeye kapata haka karaba we kapendezaje sasa na hivyo kajaliwa mguu wa uchokozi wee........
muke ya Slay
usisite kunitumia kapicha ka the look ambako huwa ukivaa all you think is Mama wawili
Umependeza sana mama wawili
ReplyDeleteRosesly tupe basi diet yako
ReplyDelete