Pages

Ads 468x60px

Monday, March 21, 2016

NIPOGO......

Haya napita basi mnione bila shaka wote mko gado makamanda wangu........ kikubwa acha kulalamika just go with the flow kikubwa omba amani na Mungu ili kuthibitisha hivyo ndivyo alivyoruhusu iwe......

 nimejirekodi kakitu ila sasa sijui ni ushamba wa you tube au yenyewe tuu imegoma naendelea kuishughulikia nikiwa na mda . matumaini yangu itakubali otherwise itabidi nijipange upya ha1ha!ha! 


that serious face speaks everything ha!ha!ha!


 kwa kweli nafikiri tunahitaji kumrudisha gardener wetu ha1ha!ha! maana duu!! sio kihivi yaani msitu umekubari hatariiiii.



 Bwana Yesu ananiandaa mahali fulani......... Nakungoja Bwana  sihangaiki na wajuzi wa Dunia bali kwa kunyenyekea mbele za bwana......

Nawapenda

1 comments:

  1. umependeza mama wawili mi viatu navipenda sana

    ReplyDelete