Pages

Ads 468x60px

Saturday, March 26, 2016

HAPPY EASTER WADAUZ............

Huku kwetu tumeanza hivi  hatua chache kutoka  kutoka hapa nyumbani kuna hicho kama park Mama mtu ndo nlienda kuficha Easter eggs asubuhi asubuhi nikarudi kuwavalisha twende tuka hunt ha!ha!ha1 ni aina tuu ya kuwa na family bond .... Kulikuwa navimanyunyu  lakini tulikuwa wabishi ha1ha!ha!
nakibaridi cha hatari tumekomaa tuu.....

Tumeanza kihivyo yaani.....

 utakazo hunt ndo utakazo kula so ukiwa mvivu imekula kwako hahahaha!!

 was fun kwa kweli....... yaani watoto kitu kidogo sana wanaenjoy yaani.......
 happy kidos mtu samehe sura zetu zimeganda yaani baridi , kimvua plus kuamka mapema duuu!!! but was great fun yaani
 oops!!
too much ngoja tumgongee jirani na yeye tumuwish happy Easter mum ha!ha!ha!

Happy Easter to you all.

No comments:

Post a Comment