Pages

Ads 468x60px

Monday, June 15, 2015

NIMEKABWA...............

Nyie bwana mwenzenu nimekabwa yaani................ kuna hii sheria imepitishwa karibu nchi nyingi huku kwetu bado ila ndo ishawekwa kwenye mazungumzo... kwa jinsi gani inavyonikaba yaani natamani nipewe kipaza sauti niongee, niende koteee linakozungumziwa kulipinga jeuri sina yaani nikama  kasisimizi ntakavyoonekanaha!ha!ha!ha! Sasa tatizo hata huku uchochoroni ninakoweza kusema aiseee kiinglish mgogoro yaani kinapoteza ujasiri wooote..... nakasirikaje sasa!!! ha!ha!ha!

 Jamani hiki kitu kinachooitwa jinsia moja wandugu ni laaana, yaani laana hii kitu............... km hamuelewe ndo ilimaliza Sodoma na gomola Someni MWANZO 19 , Mambo ya walawi 18:22,20:13 unajua inaogopesha sana ... jamani acheni dhambi iendelee lakini kuipitisha ionekane ni kawaida jamani uuuwiii!!! kweli Damu ya Yesu itufunike... Vizazi vyetu hivi maana sasa mpaka mashuleni itaingia huko ndo wanenu wanashinda, ikishakuwa Sheria na makanisani nayo itapiga hodi tuu  yaani kweli shetani katukalia uwiiiiHasira ya Mungu haita tuaacha aisee................Duuu!!! mwenzenu wiki iliyopita nahisi nilikufa ganzi kabisa  naona nimeanza kurecover....Yaani hofu ya Mungu hatuna kabisa yaani mi sijui sijui sijui

 tuendeleee na mapicha tupotezee mawazo kidogo khaaa!!!

Eti huyu nani???



 nimewarushia huko hii picha nimewambia the face you make mtu anavyojitahidi kukushawishi anaamini neno la Mungu lakini kunavitu tunatakiwa kuvifanya kwa sababu ya vile aonevyo yeye vinamfaa na kuvihalalisha kukufanya na wewe uone kawaida aiseee shetani ana mbinu nyingi nyie.... to me huyu mtu haamini neno la Mungu bali anajiamini yeye mwenyewe kuna roho inatumika hapo nyuma ya mtu aisee.......... Unajua nini sisi sote hatujakamilika lakini yale mapungufu yetu tujitahidi yawe yetu why kutaka kumshirikisha na mwengine aone kawaida??? kumbuka kuna wengine ni wachanga unapokuja wewe ambaye tayari unajua kweli lakini unaificha kwa huyu mchanga unategemea nini???


haya mbarikiwe ila ndugu sugua goti maana hatariiiiii

3 comments:

  1. umependeza sana mamy le kiatuzii kizuri sana! tumuombe Mungu hayo mambo ya sodoma na gomora yapite mbali jamani inaumiza sana sana kama ndio una mtoto ndugu rafiki wa karibu duh usikie yuko hivyo yani Mungu atusaidie jamani

    ReplyDelete
  2. Umependeza mama wawili..

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  3. What a gorgeous skirt. I just bought one and I love how it goes with anything and the length is so elegant.
    www.anicheberry.blogspot.com

    ReplyDelete