Pages

Ads 468x60px

Tuesday, June 9, 2015

MAMA WAWILI......................

Ila nyie mwezenu leo Bwana kanitendea tena............ yaani hilo tabasamu hapo mnaloliona  kwa shetani kimenukaaa.........Kagalagazwa chaliiiii....Chezea Kibari cha Mungu wewe????!!!!  
Hamuambiwi  ila mnachotakiwa kujua Unachoona hakiwezekani kwako kwa  Mungu is just a dot yaani......... tena unajua nini???? pale akili yako inapochoka kabisa hata kujiongeza haiwezi pale ndipo Bwana anapojitwalia utukufu................... Nimemaliza siendelei ng'o .....................maana shetani alivyokipofu naanzaje sasa kumponya??? hafai hafai akafie huko wana wa Mungu tupiteeeeee.

Haya mapicha time
jamani eeh kwa ajili ya watoto wenu nimeamua kufuga nywele kidogo naona umekuwa wimbo sasa mara nyingi wananiambia Mumy why your hair looks like a Boy???  you should do like............. or put a wig (in CareenVoice)  Majangazi............sasa ngoja tuwafurahishe eti eeh?? ha!ha!ha! Ila ndo bado sijajua natokaje Kikikiii ujue ukitoka kwenye hizi style jamani kurudi kwenye manywele sijui unajionaje......... nimejifungia ndani kujivalisha mawigi khaaa!!! najiogopa ha!ha!ha! anyway let see

Halafu mi nawadanganya mjue jeuri yakwenda nilikoenda na hiyo yakuangaza niliitoa wapi??? Ki!ki!ki! Sweta hiyo mkononi ilihusika ........ila  nyie wapenda mapicha ndo nimewakomesha Ha!ha!ha!



6 comments:

  1. umependeza sana na hilo tabasamu kweli shetani ameshindwa! hicho kisweta ni kiboko!

    ReplyDelete
  2. umependeza lakini i am sorry to say this hii ni maneno iliyoandikwa ktk biblia kumbukumbu la torati 22 mstari wa 5 naomba unifafanulie ni kwa nia mzuri tu mama wawili

    ReplyDelete
  3. Mdau unamaanisha hili andiko au sijaelewa??? Nanukuu "Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako." mbona naona limejitosheleza nakueleweka.......... hebu funguka kidogo mpenzi

    ReplyDelete
  4. UMEJIBUVEMA SIO KAMA NA KU JUDGE BUT WEWE SII UMEOKOKA KWA NINI UNAVAA SURUALI?NA MAANDIKO UNAKATAZA?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau unanipa mtihani unajua hahahaaa halafu sio kwa msuto huo kha! Haya ngoja nijitete ila please nielewe sijania kukushawishi uelewe nielewavyo mimi....... Mi nafanya kujitetea tuu andiko halibadiliki limesimama km lilivyo tofauti yetu ni t umelielewaje mi naona kwenye maandiko hakuna palipo andikwa suruali labda sijakutana na hilo andiko ila nakutana na vazi la gauni ambalo? Nawaza tuu

      Delete
  5. Samahani natumia tochi hahaha okey vazi hilo la gauni lilivaliwa na mwanamke na mwanaume pia ila ulikuwa unaona tofauti ya gauni la kike na kiume ukija hizi zama zetu labda niseme kanzu na madira...... hivi kwa mfano sasa hivyo nilivyovaa nimvalishe moja ya kaka yangu (nimeogopa kumpa Baba wawili hahahaa atanichapa akinisikia) we mdau wangu utalichukuliaje itakuwa perfect kwake au utasema nimemvalisha nguo ya kike? Biblia imesema usivae mavazi ya kike/kiume haijasema suruali km sijakosea hahahaaa nimejitetea mweee.....

    ReplyDelete