Pages

Ads 468x60px

Monday, June 18, 2012

YAMEKUWA HAYA TENA????? TULIPEWA SUMU KUMBE???



Kuna tetesi kwamba mwigizaji kutoka tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, amenyang’anywa gari lake la kifahari aliokuwa akitanua nalo katika mitaa ya mbalimbali ya jiji la Bongo. Habari zinadai kwamba Jacqueline amenyang'anywa gari lake aina ya X6 na mchumba wake baada ya kubaini kwamba anamcheat na mwanaume mwingine ambaye ni mfanya biashara maarufu jijini Dar.

Wakati huo huo kuna habari kwamba nyumba ambayo mrembo Wema Sepetu amekuwa akidai kuimiliki yenye thamani ya Tshs milliion 400 si yake bali ni ya muarabau mmoja ane julikana kwa jina la Ahmed amabye inasemekana yuko safarini Brazili kwa shughuli zake za kibiashara
 
SOURCE JESTINA GEORGE

No comments:

Post a Comment