Pages

Ads 468x60px

Friday, June 8, 2012

TANGAZO



Ndugu wapendwa,Tunatafuta ndugu wa Sadock Mgamba ambae anaumwa sana huko Dodoma. Wote tunaomfahamu Sadock tunajuana kama rafiki yetu wa karibu, lakini kwa bahati mbaya hakuna anayemjua ndugu yake wa karibu. Kwa sasa yeye ni mgonjwa kiasi cha kushindwa kuwataja ndugu zake.
Tunaomba sana kwa yeyote anayefahamu ndugu yake aliko au anajua mtu yoyote wa karibu tunaomba awasiliane na Mch Fue wa Tumaini ...
University anayemhudumia mgonjwa wetu katika numba ya simu 0754823970 . Information za Sadock ni kama ifuatavyo

1. Birth date: 01/07/1969
2. Place: Mwanga Kilimanjaro
3. Primary school: Mfinga iliyoko Ugweno/Usangi
4. Secondary school: Shigatini
5. Next of kin: Godfrey Mghamba (brother) Box 1103 Arusha
Rahib Mchomvu (brother) Box 10476 Dar

Pia Sadock amesoma ACCA pale Salford Greater Manchester UK na alifundisha Tumaini Mwaka 2007 na 2008.
Kila mtu asomae tunaomba sana amjulishe mwenzake ili tufanikishe kazi ya kumtafutia rafiki yetu Sadock Mghamba ndugu zake

Kwa kuwa alisoma shule ya msingi Mfinga inafikiriwa kuwa huko ndiko nyumbani kwao ambako ni Ugweno au Usangi.
Tumwombee Sadock apone Haraka.

No comments:

Post a Comment