Pages

Ads 468x60px

Sunday, June 30, 2013

SUNDAY LOOK



Muke ya Slay
new black pant in my closet....... love it!!!!!!!!
kwi! kwi! kwi! hata nikikaa miguu inabanwa duuuu!!!


sunday message: Do not back off.... push it in........ be patient because God wants to do you good.

Friday, June 28, 2013

MY INSPIRATION

It's not about politics it's about family life................... nawapenda mnooo hasa bwana mkubwa anavyoweza kutenga muda pamoja na majukumu aliyonayo .......yaani ningekuwa bongo nahisi ningesimama barabarani tuuu nipungiwe hata mkono nilizike kwi! kwi! kwi! mweee....... ningekubali majina yoote sijui ushamba,mjinga n.k  

nawapenda wanavyojua kutenga muda wao na Muda wa watoto


i cant wait to see my Careen & Cristabell @ this Age!!!!!!

Thursday, June 27, 2013

TWIN PEAKS PURPLE BRA NIGHT

Wandugu ilikuwa changia mfuko wa cancer ya matiti(fundraising)  nilijifunza mengi mnooo km na kwetu tungekuwa tunazifanya kihivi duuu mbona kwa pamoja tunaweza!!!!!  kwa maana nyingine pesa kati ya asilimia mia moja asilimia tano tuu ndio iliyotumika km gharama ya shughuli tisini na tano zote kwenye mfuko na kuwafikia walengwa na kila alieingia amenia haswa  kuchangia .......maana ticket yake sio ya kitoto halafu uingie ukutane na vibiskuti  ha! ha! ha! kina sie tunaandamana na kulalamika tunasahau  lengo kubwa la shughuli..........  kulikuwa kuna minada ya hapa na pale ambayo thamani ya hivyo vitu haikuwa kubwa lakini kwa sababu watu wanania walinunua kwa gharama kubwa ili kufikisha lengo........mnisamehe mwenzenu nimeona nilizungumzie maana zile za kwetu nyingi nilizozizoea asilimia tisini na tano ya mapato ndio gharama za chakula, ukumbi,watumbizaji, na mengineyo halafu asilimia tano yawalengwa na  pengine muandaa shughuli naye atajigawia kidogo japo si vibaya maana amefanya kwa nafasi yake @ list hata hiyo tano imepatika....


Mama wawili
happy ladies
with Agy,Vick,&Lisa
gorgeous couple
Mr & Mrs
Lovely Couple
Baba wawili katikati ya mnada
finally


tukishangaa yanayoendelea
people

the team



lisingekosa mteja toroli kwi! kwi! kwi1
yaaaam!!!!

Wednesday, June 26, 2013

ONJA

Jamani mwali wetu hatakiwi kuonekana NO CAMERA ndo ulikuwa mpango mzima  kwa ujumla ilipendeza  mnooo dress code ilitendewa haki na kila mmoja soon after harusi mtarushiwa picha kwi! kwi! kwi!
mama wawili
muke yake
amekuja kumpick mama watoto
jamani hizi hapa chini simu haikututendea haki........
with gorgeous Jesca

with cute Neema
 with beautiful Mariam

Tuesday, June 25, 2013

WITH MY GIRLS


Niliwamisije sasa????
ha! ha! ha! mwanangu Cristabell jamani namapozi yake km anaionea aibu Camera vile......
Careen sasa anapendaje picha
happy girls

am blessed.......... sina chakumrudishia Mungu kwa kweli hawa watoto ni Baraka kubwa kwangu haifananishwi na chochote.....................
wakati mwingine najichunguza sana ninachoishia kukiri ni kwamba...... Haya yote ni kwa neema  sina ukamilifu hata kidogo
Neema ya Mungu ikaendelea kuwafunika wanangu............bila kusahau tuko na Bibi anashop huko
nimenunua kesi kuwaleta hii section Mweee


yeeeeh !! finally tumemsnap Bibi  akifanya yake  akiwa na figili mkononi..........wandugu msimwambie Bibi km mmemuona atanunaje kwi! kwi! kwi!
we are home!!!!!!

sasa tunaweza muachia Mumy akampikie mumewe maana kalishwa vya hotelini mnooo.....

Monday, June 24, 2013

FINALLY AM HOME



Mama wawili
Mr & Mrs
hawa watu mara nyingi huwa siwakuti na mtoto wakitanzania na nimekuwa nikinia kuwa na mtoto ambaye simjui ila awe Tanzania @ list hata nikija home naenda kumtembelea nakujuana  naye zaidi nilipopita tu akanidaka nikamuuliza una mtoto wakitanzania akanambia Yes!!!! nilisaini mkataba faster so kila mwezi nakatwa  pesa kwenye bank account yangu kwa ajili ya mtoto wangu wa hiari wa kike mwingine wow!!! i  cant wait to meet her ( Dada wa Careen & Cristabell) 
km  kweli  hawafanyi kwa ajili ya maslahi fulani hawa watu wanahitaji kutiwa moyo mnooo....
us
aawwww!!!!  nimefika nimewamiss wawili mmnnooooo!!!
muke ya Slay
mama wawili
habari kamili last week end Baba wawili alimpeleka mkewe kwenye kitchen party fulani umbali km 600(lets say Dar to Iringa) kila kitu kilienda shwariiii..... wakati wa kurudi sasa tupite kujaza mafuta kabla ya safari poor Baba watoto wangu asijaze diesel  badala petrol anakuja kustuka kashaweka km $ 20   hatutakiwa kuliwasha nikuja kubebwa na kutolewa mafuta......... asubuhi ya leo tunaambiwa mpaka kesho tena duuuu!!!! wawili wetu tuliwamiss mno ikabidi tubadilishe usafiri.tunashukuru Mungu tuna super wapendwa watatushughulikia no doubt!!!! 
 tutakumiss kwa week kadhaaa ha! ha! ha!