Pages

Ads 468x60px

Friday, February 17, 2012

NIMEKUJIBU MDAU


Haya mdau ulietaka nijieleze "WHO I AM" kwenye moja ya post zangu coz hujaona chochote kwenye profile yangu....... kiukweli sikuwa na chakuandika maana sijui kabisa kuandika kiufupi ukinipa nafasi ntajieleza weeeee mpaka nipoteze point HAHAHAHA!!!!!! usinicheke some of  my friends wananijua sana huu ndo udhaifu wangu...... ENDELEA kunichungulia wangu utajua mi ninani bila hata kujieleza yaani katika vitu huwa nafeli nikujieleza  hahahaaaaa!!!! haya ngoja nianze na hili basi


Mimi ni mama mwenye watoto wawili na Mume mmoja namshukuru Mungu sana sana kwa ajiri ya hawa watu watatu. yaani sijui nisemaje????????? AM BLESSED 



Careen

mama wawili na wawili wake

Cristabell&Careen&Dady (SLAY)


Cristabell &Careen



1 comments:

  1. rose jamani, Mungu hakupi vyote, unamuona huyo dogo hapo na u leg wa haja hahahah, huku wewe unaongeza 2KG kukimbiza, malaika wako akhaaa wamejaaaliwa tayari

    bwana awainue sana

    ReplyDelete