Pages

Ads 468x60px

Sunday, February 19, 2012

NI MTAZAMO TU.......

Wadau nimesikia na kusoma watu wanarumbana juu ya education.... wengine wanasema Education is Sexy na wengine wamepinga  hahahahaaa.!!!!!!......... Mtazamo wangu "Education is Accessory"  WHY?????????

  Katika harakati zangu za maisha na kaelimu kangu haka kadogo kunawakati ilinibidi nifiche baadhi ya vyetu vyangu ili nipate kazi ninayohitaji and yes  nilipata  nakasogeza maisha na ilikuwa inanilipa sana tu.kwa maana nyingine  shule yangu haikuapply ni neema tu ya Mungu iliyonifanya nipate hiyo kazi na si vyeti.nikaja nikapata kazi nyingine ambayo yes walitaka level fulani ya education lkn haikuwa exactly what i studied kwa mfano am accountant but  i end up doing marketing kitu ambacho sicho ndicho i meant to be hiyo ni baadhi ya mifano yangu .........na pia nikiangalia kwa upande wa $$$$$$$$$$ mi na mtu wangu wa karibu sana nimemzidi kwa upande wa vyetu lakini kwa upande wa $$$$$$$$ ni ndoto kuja kumkamata hata iwaje...... hiyo ni mimi  lakini kuna watu waliosoma na wamepata elimu inayomlingana na wana lipwa $$$$$$ za kutosha "EDUCATION IS ACCESSORY"

Nikiangalia kwa upande wahuku mitaani kwetu tunakoishi utamkuta mtu hana Elimu lakini $$$$$$$$ zinaongea sana tu lakini bado pamoja na hayo  utajikuta mwisho wa siku unasema jamani huyu mtu ana hela angekuwa nakaelimu kidogo duuu angekuwa mbari sana.....na pia tunabaadhi ya watu tunao mitaani na hata maofisini  vyeti vinaongea vibaya lakini mwisho wasiku utasikia huyu best vipi utafikiri the book no bwana...... hahahaaaaa!!!!! "EDUCATION IS ACCESSORY"

ANGALIZO

 Tusidharauliane kwa sababu mi ninacho we hauna wadau mtoaji ni Mungu ye ndo anajua karama zetu kwa kila mmoja wetu.We kama umejariwa kusoma basi mshukuru Mungu na umthamini hata asiesoma.......Na pia we usiesoma kwa mazingira fulani lakini unaona umuhimu wa shule ila kwa sababu tu the book no...... usitumie nafasi hiyo kuwakatisha tamaa wale wanaopenda na kujikwamua ili wawe na Elimu au kutumia kauli za kejeri na kuwabeza waliosoma acha hizo wangu.

Kwa mawazo yangu kwa sisi ambayo tumeshajua tutoke vipi? tuendelee kwa kadiri kila mmoja alivyojariwa mtazamo wake.... MAOMBI YANGU hasa kwa hivi vizazi vichanga ambavyo bado hatujajua km kwao Elimu itakuja kuwa ACCESSORY kama Rose au Sexy kama wengine wasemavyo.... mi ningeoomba tuungane tuwape Elimu kwa kadiri tuwezavyo tena kwa kuwaelezea umuhimu wake ili waweke juhudi sana juu ya hilo Then hapo badae watajua muelekeo kuliko tukiwanyima sasa hivi badae wagundue walikuwa wanahitaji halafu ni too late wadau tutalaumiwa kwa maana nyingine EDUCATION IS IMPORTANT BUT NOT FOR EVERYTHING"

LA MWISHO

 Tangu nimeamini kwangu EDUCATION IS ACCESSORY" yaaani kila kukicha nasoma chochote kinachokuja mbele yangu kiwe cha mda mfupi au mrefu mi nasoma nikimaliza natafuta kingine sichagui jembe yaani hapa ukiniuliza  nursing nimo, accountant abeee, marketing jana na leo, kubeba mabox yes pls and just after i finish what am doing now nampango wakwenda kwenye mambo ya mines and that is me!!!!!!!


3 comments:

  1. DADA UMEONDEA POINT SAANA,NAPIA NIMEKUANGALIA TUU NIKAONA KITU NDANI YAKO ,KWANZA ROHO MTAKATIFU KANIONYESHA KUWA WEWE NIMTUMISHI WAMUNGU UNAMPENDA YESU,UBARIKIWE SAANA DADA NAFAMILIA YAKO,LOVE U MDAU SWEDEN.SIJUI MKO WAPI NYIE NIMEONA PICHA KAMA SOUTH AFRIKA .LEO NDIO MARA YAKWANZA KUINGIA KWA BLOG YAKO ILA NIMEIPENDA SAANA.

    ReplyDelete
  2. Ahsante mdau jina la bwana libalikiwe heshima hiyo ni kubwa bado najiona sifai kuwa hivyo but BWANA NA AJITWALIE UTUKUFU KM HILO LINAONEKANA NDANI YANGU

    ReplyDelete