Pages

Ads 468x60px

Friday, June 7, 2013

TUZUNGUMZE

Nakumbuka niliwahi kutoa mada ya ndoa bila kutoa maandiko. nimerudi tena baada yakuhudhuria  couple's night kanisani. jamani napenda sana neno la Mungu wandugu duuuuuuu!!!! hakuna kitu ambacho kinaendelea kwenye ulimwengu huu hakijaandikwa na kupewa maelekezo na hii ndio siri kubwa kwa nini tumekuwa wazito kusoma neno la Mungu maana shetani anajua kweli iliyo ndani yake......... Mungu atusamehe sana vichwa vyetu vigumu mnooo...........

Nilichozidi kujifunza ni hichi...........

Kila kitu kina kanuni na taratibu zake ........ndivyo ulivyo mpango mzima wa NDOA ya aina yoyote ile ya mchina,mkinga, nyeupe au nyeusi kwi! kwi! kwi! kwi! na kama haya hatutazingatia nakuomba neema ya Mungu itusaidia  tutaishia kufanya mikutano  yetu( kitchen p,kibao kata, sijui wanaume nini sijui) bila mafanikio hasa kwa wale tunaoamini............... ....... hata kwa wale wanaotarajia kuingia kwenye NDOA  haya ndio yakutarajia na ndio maana halisi......... kama sote tukifanya kwa nafasi zetu hayo mengine ni supu supu tuu zakumfanya mtoto awe na afya. nimeona mkinitumia  comments wengine, na hata nikipita pita mitaa ya pili naona wapendwa wangu mnavyotamani ndoa fulani, fulani  kiukweli mke au Mume mwema hutoka kwa Mungu sa nyingine tuna show off tu kuwarusha roho ha! ha! ha! ndio ulimwengu tulionao tufanyaje sasa joke!

EFESO 5

   tukamsome Sarah mfano wa mwanamke wakuigwa




nilikuwa mdogo maana tumezungukwa na style za dunia mpaka tumesahau wajibu wetu. 

No comments:

Post a Comment