Pages

Ads 468x60px

Saturday, March 29, 2014

THE LOOK


BELIEVE,BE YOURSELF, BE STRONG, PRESS OOOOOOOOON!!!!!!!!!!!!!YES WE CAN DO EVERYTHING THROUGH .......................................AM THE KING, AM THE PRIEST. THE AUTHORITY AND MINISTRY IS IN ME.



Mapozi na mama wawili

ngoja niwachekeshe ushamba mzigo aiseee au ze lugha mgongano???
nilifikiri nimenunua red colour ya nywele...... sikutaka iwe nyekundu sana  so nikaenda na deep red, ile kuja kuweka sasa!!!!!ngozi nyekunduuuu, nywele nyeusi kwi! kwi! kwi!
 karibu miaka miwili sasa hichi kiatu hakija valiwa nakipenda ila huwa sijui nikivalie nini!!!
nimeamua kukomaa nayo hivyo hivyo.............

 love you

7 comments:

  1. Umependeza sana mama wawili.

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  2. Umependezaje! Kwa lugha iliyokuja na ndege tunasema " you look amaizing, everything is on point!"

    ReplyDelete
  3. Wakati nakaa ulaya niliangaika sana na hair dye zilikuwa azishiki nikagundua sio za texture ya nywele zetu.ndio nikaenda maduka ya vitu vya watu weusi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeona eeeh!!! Majangaz nimeanza kuzijulia ila hii naona lile neno deep red sikulielewa!!!!!

      Delete
  4. Umependeza mdada,You look goergeous muke ya Slay.

    ReplyDelete
  5. Umependeza viatu vyako vizuri.kuhusu dawa ya nywele (hair colour)nenda african shop wanazo rangi zinazokubali nywele zetu hizi weusi.maana namimi niko ulaya nilishajaribu rangi ikawa inabuma ila nikagundua sio zetu hizo zawatu weupe .nikanunua african shopsasa hivi zimekubali sana nzuri namimi nina naturel hair kama zako.ilaukiweka ukaenayo muda maana wewe unanywele nyeusi saana,mimi nilikaa nayo masaa 3.unapaka asubuhi unandelea na shulizako kama uko home hiyosiku.

    ReplyDelete