Haya wandugu ni muda wakuaga haya maficho........ kiukweli na mshukuru Mungu umekuwa ni mda mzuri zaidi kwetu tumepumzika,tumebond zaidi, tumekuwa na mda mwingi pamoja, kikubwa tumejitahidi hata maongezi yetu yasiwe ya mawazo sijui biashara zimeendaje, magumu tuliyopitia na mambo kama hayo kikubwa kilikuwa nikujisahaulisha na kuzifanya akili zetu zipumzike hasa watoto you can feel wanavyo enjoy...... Careen asubuhi hii ameniambia Mumy why dont we stay here forever??(in her voice) nikamjibu vitu vingi vikiwa pamoja na unatakiwa uende shule,na sina hela yakukuweka hapa mda mrefu...... akanijibu Well you always go to work so you have money!!!! ( in her voice) Hii imenisadia nikiwachukua shule nikija nao ofisini kwangu kwa mda wa masaa mawili yakumaliza kazi walifikia hatua wamechoka hawataki tena kuja ofisini so ikabidi Mama mtu nifunguke kama hamniruhusu nisiende kazini sitakuwa na pesa za kuwatimizia mahitaji yenu, tangu niwambie hivyo hawanisumbue ila wanaamini kila wanachotaka kinachohitaji hela lazima tuwatimizie which is not true, i love them lakini sio kila kitu kilicho ndani ya uwezo wangu lazima wapate......... niko kwenye mpango wakufunguka na wao wajue pesa is not everything, kuna vitu vinaweza vikawa ndani ay uwezo wao lakini wakavikosa vile vile kwa sababu sio muhimu kwao..............
Mafichoni kwetu kwa mda wa siku nne
view ya chumba
bathroom
view ya sehem ya kupata mlo
Huyu ndo mwanangu mimi kila aingiapo lazima atoke na rafiki, ye akimuona mtu gafla utasikia i like your.........,what is your name, huwa hawezi kumpita mtu bila kumuuliza maswali au kumsifia
view ya nje
haya wandugu nendeni mkabebe mabegi yenu muda wa humu ndani umekwisha.........
mpango wakuandaliwa gari na mtu wakuja kuchukua mabegi unaanza
tupo tayari tunawasubiri mtu wakuja kubeba mabegi
bye bye.....
tunaendelea kusubiri the big boss kaangusha kwi! kwi! kwi!
checking out
masaa 6 yakuendesha yanaaza hapa..............
umenifurahisha kuniwekea hayo mapicha. wengine hatujawahi fika ulaya so mapicha kama haya ndo faraja yetu. uwe unatuwekea mapicha kadri uwezavyo. mimi penda familia yako much. kis kis
ReplyDeletemimi nafanya kazi na wanaume tupu.wanasema mwanamke akifanya jambo utamjua tu eti sababu tunasema" nime" sasa nimekuwa sensitive na hilo neno jamani .Wewe unaonaje. Maana naona na wewe unalo sana.Tulipunguze? kwani vibaya kusema umefanyakitu wewe? wanaume apparently wanaona wamedhalilika.
ReplyDeleteMama watatu
Ni kweli ma ikiwezekana liishe kabisa hakuna nime ndani ya ndoa ni tume
Deletemtapona tu hakuna lisilowezekana maadamu mmegundua udhaifu ulipo basi ni muhimu kuchukua hatua kutoka nime na kuwa tume ............. hongereni sana mabinti zangu!
ReplyDeleterose unanifundisha vitu vingi sana we hujui tu yaani unanirudisha darasa la kwanza kabisa nakupenda sana hata kama sikujui shule yako inanisaidia sana mimi ni mama wa miaka 59 imagine Mungu alivyo wa ajabu kweli hakuna kusema mimi ni mtu mzima na kudharau mtu uliyemzidi kwa mambo ya roho ni vyema kukubali kushuka na kufundishika asante sana shukurani zote zimwendee Mungu Muumba aliyenikutanisha na wewe kwa njia hii na kukutana na huduma ya ajabu japo kuwa yawezekana mwenyewe hujui umepewa nini asante! Endelea kunitoa shimoni!
ReplyDeleteMy rosislay..ur not lucky. .ur blessed
ReplyDeleteNimetamani nitaandaa mpango mkakati mwisho wa mwaka Mungu akipenda nijifiche sehemu
ReplyDeleteBWANA YESU AZIDI KUKUBARIKI MPKA BARAKA ZIJUE KUWA WEWE NI MBARIKIWA
ReplyDelete