Haya wandugu mwaka huoooo tunauaga kama kawaida yetu tujitathimini nakumrudishia Mungu utukufu kwa kuwa bado ni mwema kwetu ....... haijalishi mwaka ulikuwaje ile tu kuwa mmoja wa kumaliza mwaka ni neema........
haya tutiririke inbox (slayros@yahoo.com)
1. NINI UMEJIFUNZA NA UNAUSHUDA WA KWELI MBELE ZA MUNGU KUPITIA BEYOU BLOG
2. NINI UNGEPENDA KIWEPO LABDA KILIKUWEPO AU KIONGEZEKE
3. NINI KAULI YAKO(MOTTO) KWA MWAKA 2014 HASA UKILINGANISHA NA SOMO ULILOPATA 2013
4.MAMA WAWILI ANAJITAMBUA ILA HAJIELEWI WEWE KAMA MDAU UNAMCHUKULIAJE TUMIA NAFASI KUMWAMBIA UKWELI BILA WOGA IKIWEZEKANA MKOSOE KWA MTAZAMO WAKO.
5. TOA USHAURI NA MAONO YAKO KWA AJILI YA BLOG YETU 2014
ZAWADI YETU KAMA (MBEGU) ITATOLEWA KWA MSHINDI HAIJAJULIKANA BADO ILA ATAPEWA KULINGANA NA UHITAJI
MWISHO WAKUPOKEA IJUMAA TAR 3 2014.
MBARIKIWE
YANI NMEJIFUNZA MENGI MNOOOOOO KUPITIA BE YOU...
ReplyDeleteNMEINGIA LATE ILA NMEGAIN MORE THAN EXPECTED...UWII MI MVIVU KUANDIKA ROSE ILA EM NITULIE NISHINDE DOLARE MIE..LOL HAPPY NEW YR DA ROSE
Nimejifunza kumtumaini Mungu bila kikomo
ReplyDeleteNingepengependa maneno ya kutia miyo yazidi kuwepo na ushuhuda kwa walioweza kwa uweza wa Mungu
Kujituma zaidi na kumtumaini Mungu kwani anatenda yale 2nayodhani Hayawezekani
be as your ndivyo ulivyo nasitwakupenda Ulivyo
Maoni izidi kuwapo ili itupe mebgi zaidi