I 'VE BEEN WANTING THIS LOOK BUT NEVER DARE IT.................... Last night nilikuwa natakiwa kwenda kwenye mnuso my hair was all messy and i had two choices only head wrap or chop chop my hair kulingana na muda uliopo...............nafikiri this was a right choice hey!! just for a change wandugu
haya sasa naanza na nani hiki kipilipili ?????? kama kawa olive oil ndo mpango
ndani ya miezi mitatu mpaka sita kitaeleweka kama nywele zako zimegoma olive oil usijaribu aisee utajuta.... mama wawili na olive oil ni kama mapacha labda inigomee this time
i know was nothing wrong with my hair mnuso wa haraka haraka umeniponza ukizingatia nimejiwekea BIG NO na mawigi kwi! kwi! kwi! kama ntaweza
kuna watu wamenuna hapa ha! ha! ha! msijari mtanizoea tuu.......
mama wawili umependeza na short hair una uso mzuri!!!
ReplyDeletemdau wako wa Musoma.
Smoking hot mama
ReplyDeleteI think you look good. Better than all the other hair styles i have seen on you on this blog. Keep it.
ReplyDeletemimi nimechop my hair lyk 2months ago, sioni mabadiliko yoyote positive, ngoja ni jaribu hiyo olive oil!! ....
ReplyDelete..all in all you look amaizing!!
yaani unapendeza na short hair mawigi marasta huo uchafu wote tupa kule,yaani you look very young and beautiful.
ReplyDeleteteam kunyoa.....UMENOGA HATAREE nakuonea donge .na me nimenyoa sijuti lakini sijapendeza kama wewe duuh
ReplyDeletemama watatu
Umependeza sana
ReplyDeletei didnt know u got modeling look. soo pretty.
ReplyDelete