Pages

Ads 468x60px

Wednesday, December 18, 2013

MMMMMH!!!

 watumishi mtufungue hapa , Tatizo ni mwili  wake?? au kwa sababu ya nafasi yake anayotumika haipasi kuvaa hivi? haya mfunguke........ 


”Yes, you are a beautiful, curvy woman…but No ma’am 
you are singing the
gospel of Jesus Christ,” wrote pastor Stacey Woods on American
Preacher. We compel men to come through our love for Jesus, but when
we wear things that are distracting, the message is somehow lost and it
becomes about us and not about Him,

 HAPO CHACHA na mama wawili nikakutana na hii comment  kwenye page yangu facebook kwenye picha hii lakini nafikiri mtumishi alifanya utani tuu akihusianisha  na story ya  bidada hapo juu...............
nimeicopy na kupaste
  • "Yaani kwa hapo lazima watakuzuia kuingia kanisani" mwisho wakunukuu
 haya tufunguke wengine tupone mama wawili hapa sifunguki ng"ooo  nakuwamsomaji na kuachilia comment.

tumalizie na wololo 

4 comments:

  1. binafsi cjaona tatizo ya hiyo nguo aliyovaa erica!! hata angevaa nn kwa umbo lake lazima angezua maneno!! waafrika mungu katujaalia maumbile kwakweli!!

    ReplyDelete
  2. wololo ni wimbo gani maeee mie nimeona amependeza,
    but she's a curvie, a curvy is a bit of distraction in a house of God, I wouldn't mind her anywhere else but kanisani, by the way its just 3hours, cant people just use them 3 hours effectively to concentrate on word of God because that distraction is wanting, especially if you really are in the church for prayers but not some body competition, if its disturbing others she should just invest in non body hugging attire, kuna na maneno kuhusu mwili wetu kuwa ni makao ya roho mtakatifu, I aint sure if holly spirit would like to reside in a body that is 'purposely' dressed to showcase the finest part of God's creation...
    tuna siku 6 za kuvaa hata vichupi, we have one day to go to church and make up with our maker, lets respect this day, 'ikumbuke siku ya bwana , uitakase' so as for me, I wouldn't want to be a source of distraction, UNLESS, EVERY SINGLE BODY IN MY CHURCH IS DOWN WITH IT AND OK

    ReplyDelete
  3. Wanasema ukiwa mtumishi au born again wewe ni barua unasomeka ! huwezi kuwahubiria watu acha ngono wakati wewe mwenyewe mavazi yako yanahamasisha ngono i mean yanakuwa hayaeleweki. dada hapo amevaa vema bt tatizo ni hiyo shep ya kiafrica aliyojaaliwa ndio imekuwa gumzo.but my side me huwa i don't mind coz hata mimi huwa navaa nguo yoyote sometime hata nikiwa kwenye huduma navaa nguo kama hizo although kibongo inakuwa tabu sana wanamind .but me sioni tatizo

    ReplyDelete
  4. Tatizo watu wanaenda kanisani badala ya ku concentrate kwenye neno wanaangalia nani kavaa nini...its nonsese

    ReplyDelete