Pages

Ads 468x60px

Thursday, March 7, 2013

TUZUNGUMZE

 KAMA BWANA ANGESIMAMA NA KUHESABU MAOVU YETU JE NI NANI ANGESIMAMA............ HAKUNA ALITE MKAMILIFU CHINI YA JUA SISI SOTE TUMEPUNGUKIWA ILA NEEMA YA MUNGU WETU INATUFUNIKA.

 katika pita pita zangu nimekutana na hii nimeipenda na imenigusa..... SHILA UMENIINUA SANA KWA HABARI YAKUOMBA MSAMAHA......... kitendo chakuamua  kujitambua na kujikosoa   tena kuweka wazi yeyote asome  i thumb up yo mamiii....... nazidi kujifunza jinsi gani neno SAMAHANI linavyoweza kukupa amani, hii nimeliona hata katika safari yangu ya maisha  haijalishi yule muhusika yuko tayari kukusamehe au la lakini wewe binafsi ukijitambua na kuomba msamaha neno MSAMAHA linakubadilisha kabisa.
kitu kingine nilichojifunza hapa katika kusawazisha mambo usitake kutafuta tafuta ilikuwaje, sijui nani alihusika,au namna yoyote yakutaka kujilinda kupunguza makali ya tatizo...... na usimpe nafasi muhusika aanze kukutafuta tafuta umueleza a-z kwa nini ulimkosea. ( TUNAJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA)  
ufuatao ni barua wazi kutoka kwa LOUISA SHEILA FRISCH inayoomba msamaha...

Kama binaadam hakuna aliyesahihi ,kila mtu anamapungufu yake, Mungu utumia njia zake nyingi kutufunza vitu na vitu vingine there not just vitu ambavyo tunaweza vielewa ktk upeo wakibinaadam,.nnachoamini ni moja ya changamoto tu na moja ya somo ya mimi kujifunza.

Kilichotokea wiki hii ni makosa yangu mimi Shilla I ll take all the blame, nawale nliowatukana hapa nakumention majina Yao au kwa wale waliokuwa wanajishuku labda nawaongelea wao pia naomba mnisamehe,pia nakwawale mliosoma labda mkawachukulia kivingine kutokana na maneno yangu plz plz naomba tu mjue nikazi ya shetani na Hawa watu hawako hivyo maneno yangu yasiwe chanzo ya nyinyi kuwaona vinginevyo, naomba mchukulie nimoja ya mapungufu nliyonayo.

Kwako kaka Joe na mkeo Vicky na watoto wenu nimewakosea sana naomba mnisamehe n najuwa haitakuwa that easy kunisamehe bt I believe Mwenyezi Mungu atawapa wepesi ktk hili.
Nakwawale wote wengine marafiki zangu wapendwa ndugu marafiki mnisamehe kwa nj...ia yoyote ile niliowakosea kujua ama kutokujua.
Pia kwa wazazi wangu, n to those who trully luved me na ambao wananijuwa inside out nawanaelewa ninikilichotokea pia nisameheni kwa kuwafedhehesha,na 

Pia napenda kuwa shukuru wale dada zangu nawale ambao waliojitolea kuwa na mimi bega kwa bega kunijali kwa kuniulizia ambao walibeba hili tatizo langu Kama la kwao hawakulala usiku mchana during dis week kutaka kujua kma niko ok sina chakuwalipa Bali mbarikiwe na Mwenyezi Mungu awarudushie maradufu,nnachohamini ninjia moja wapo Mungu ametumia nijifunze/tujifunze ansvyoweza yeye, plz after this ningeomba nisipigiwe sim kuulizwa swali ilikuwaje au nani kakwambia/or what really happen sitopenda kujibumaswali kma hayo n let by gone be by gone coz i belive kutakakchimba chimba vitu ni kuzidi kumpa shetani nafasi na attention so nisingependa kumuingiza mtu mwingine matatizoni coz naomba tuelewe jinsi Mungu alivyonanguvu, hata shetani ananguvu pia au nisingependa kutumiwa Kama chombo ya kwenda kuvuruga mtu mwingine kisa ni rafiki yangu au alikuwa na urafiki na adui zangu au adui zake ni marafiki zangu, therefore namwachia Mungu huu ni msalaba wangu naomba niubebe mwenyewe bt mbele ya Mwenyezi Mungu nimekosa there 4 sinakinyongo na mtu na ninawapenda wote, mbarikiwe sana.

NIMEKUPENDA BUREEEE MY DEAR

MSISITE KUMTEMBELEA DUKANI KWAKE LOCATED @ MASAKI DAR ES SALAAM TANZANIA AU MPIGIE SIMU +255715704974

ANGALIZO
SHILA KAMA YEYE HAJANITUMA NIPOST HII HAPA BEYOU,  MIMI MWENYEWE  MAMA WAWILI NIMEWASHWA, NIMEIPENDA BAADA YAKUONA AMEPOST KWENYE BLOG FULANI......KIZURI KULA NA WENZIO HAHAHAHAAA!!!! KWA LOLOTE NITUHUMIWE MIMI  HUMU HALAFU NTAWAOMBA MSAMAHA BAADA YA KUJIFUNZA KWI KWI KWI!

5 comments:

  1. Awe na duka masaki atambe muulize liko masaki sehemu gani uone hebu atuondolee uongo wake. Mimi nimemuuliza anashindwa hata kujielezea tena nilitaka tu kwenda kumuunga mkono. Huyu binti nimesoma nae na pamoja na kuomba msamaha inabidii asali sana maana anamdomo mchafu sana tangia tuko shuleni kumbe kabeba hizo tabia hadi huko ulaya. Mungu amsaidie

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sema wewe mdau sie tukisema mama wawili atatubania kuachilia comment zetu

      Delete
  2. Makubwa malaya huyu yamemsibu yapi hadi kuomba msamaha? Kama ni kweli basi Mungu anafanya kazi maana limeshindikana toka huku Bongo tunalijua. We nae bado zamu ako atakuchamba tu subiri uone.

    ReplyDelete
  3. Makubwa yaani wewe Rose unaruhusu comment kama hizi za mtukana mtoto wa watu humu kwenye blog yako wkati unajidai wewe mlokole anyway hayanihusu napita tu bye

    ReplyDelete
  4. Jamani kaomba msamaha is asamehewe?wangapi hapa ni wasafi na hatuna dhambi?hebu jichunguze mwenyewe kabla ya kumhukumu mwenzako!

    ReplyDelete