Pages

Ads 468x60px

Sunday, March 3, 2013

WASH OUT JEANS IN STYLE

  Check out my sunday look..........in regards to your email my beautiful peeps, this is what i will be doing @list once or twice  a week  right!!!!!

mama wawili and only muke ya Slay

i love me..... sasa watu wangu wa ukweli humu ndani tutaanza kuchanganya kiswangishi kidogo kuna watu wananiemail hatuwatendei haki hapo chacha mkinga mie mbele kwa mbele hahahaaaa!!!ila kwenye topic yatuzungumze watanisamehe kidogo ile raha yake lugha asilia bwana ndo inanoga, halafu ndo mambo yakuumbuana ukubwani khaaa!!!na mambo yakukaa nadictionary pembeni nourma....kwi kwi kwi!
the nail polish was just aaawwww!!!
o yeah!!
thanks God for myself........

love yo......

2 comments: