Pages

Ads 468x60px

Friday, March 8, 2013

HAPPY INTERNATIONAL WOMEN'S DAY


Siku kama hizi zinatupa wakati mnzuri wakujielewa na kujitambua...........kama mama wawili namshukuru Mungu kwa kunifanya mimi km mimi, najivunia kuitwa mwanamke kwa nafasi ya MKE,MAMA NA DADA (FRIEND) hahahaaaa!!!

MKE

naipenda sana hii nafasi,tangu nilipoolewa mtu akiniita Mrs,muke ya Slay,Rose wa Mbeyela aaaaaawwwww!!!! najisikiaje burudani, hii safari naipenda sana najihisi nimependelewa, na ashukuruwe huyu Mungu alimuumba mume wa ubavu wangu...... changamoto zipo nyingi tuu lakini neema ya nafasi hii yakuitwa mke imenitetea sana sana kwi kwi kwi! wale mnaoniemail ni wape siri yangu ya ndoa bila shaka hapa mnanipata sana tuuu. MWANAKE MPUMBAVU HUBOMOA NDOA YAKE BALI MWANAMKE MWENYE AKIRI HUPALILIA MAGUGU YASIOTE ( Jamani hako ka msimo kangu ka mwisho Biblia haijasema magugu)  hakuna aliye mkamilifu wandugu ila nikukomaa tuu mpaka kieleweke. najiamini kama mke halali,najikubali sana kupita maelezo hata siku moja huwa sijifananishi na mke mwingine, naamini nafasi na majukumu niliyonayo km mke ni yangu na hakunaga mwingine.( kwa maana nyingine kile ambacho mume wangu anataka nifanye kama mke nitafanya bila kuangalia wake wengine wanafanyaje, alitambua maana kamili yakunifanya kuwa mke wake na majukumu ambayo alijua kama mme anahitaji mke kwa nafasi ya uhitaji........ na kwa sababu ananitambua kama mimi ni mke wake (ubavu) hawezi nishurutisha nikafanya nje na nafasi mke maumivu yatamrudia mwenyewe.( Mwili ni mmoja tofauti ni ubavu tuu)

MAMA
naibarikiwe ile siku niliyoanza kuitwa mama wa Careen na  Cristabell............sijui nizungumziaje hii maana ntaongea mengi meingi nakuishia kulia mchozi ya furaha.Nafurahia kuwaona wanangu siku hadi siku, jamani hapo juzi kati niliwaacha na bibi yako kwa siku kadhaa nahisi nilikuwa naumwa mawazo........kwa ujumla hawa wawili wangu hawa duuuuuu!!!!!

DADA (FRIEND)
napenda marafiki huwa sina very very very close friend (BBF) zaidi ya big boss( Slay) mimi ni mtu wa watu, napenda vishughuli vinavyohusu watu bora mradi tu tufurahi kwa pamoja,tulie na kufutana machozi pamoja. tunie na kukusudia pamoja..............nachukia rafiki mnafiki to the maximum......... napenda tunaposema A wote tumaanishe B nikikugundua unanionyesha tuko pamoja kumbe sio nakupotezea faster....... na ndio maana siku hizi huwa najitahidi kidogo kuangalia muelekeo maana hii sehemu ngumu sana aseee!!! nilikuwa naingia kichwa kichwa mwisho wasiku  Baba wawili alikuwa anaishia kunifuta machozi wakati wenyewe wahusika wanakula bata hahahaaaa!!!  am sorry to say this  huyu ndo mama wawili.........
 HAPPY WOMEN'S DAY

No comments:

Post a Comment