Pages

Ads 468x60px

Friday, March 15, 2013

KITAA NA MAMA WAWILI

Naipendaje friday hasa kuanzia mida ya saa kumi jioni duuu........ nikishakamilisha mambo yangu ya mabox ile kuwaza , sasa ni mimi na baba wawili, baba wawili na wawili ,wawili na dady na mumy yao baaasi nasahau shida zote duniani kwi kwi kwi!!!

my look today 


got my shoes for $10
mama yao

muke yake only.......


heheheheeee!!! 

WISHING YOU A FAB.WEEKEND

3 comments:

  1. nimevipenda viatu vyako

    ReplyDelete
  2. Hiyo nywele imekutoa bomba mama wawili. Pendeza mamii.

    Madau- Musoma

    ReplyDelete
  3. I like ur girlish look...

    ReplyDelete