Pages

Ads 468x60px

Tuesday, April 3, 2012

wadau nimeona maoni yenu yaani kumbe mnanipenda eeh??????????  yaani mama wawili penda sana nyie.................. yaani kupita kiasi mnisamehe sana  nipo busy wapenzi simnajua tena home sweet home????????? mambo mengi muda nilionao huku ni mchache nna km wk moja more na mambo hayakamiliki kabisa nivumilieni sana tuuu............. nina mambo mengi saaaana yakuwapa ila mda unanibana sana sana @ ntakuwa narusha rusha mooja mbili sio mbaya baada ya 2 wks tutaanza mambo au sio

No comments:

Post a Comment