Pages

Ads 468x60px

Sunday, April 29, 2012

MY DREAM

Wakina fulani wanasema " i got my new bby" Mama wawili nasema hivi...... "Ama kwa hakika tumeuona mkono wa Bwana" kwa kweli inatia moyo unapoomba Mungu na kufanya juhudi zote ili kukamilisha ndoto yako hasa kina sie wabeba mabox,tuliopewa majina yote mabaya yasiokuwa na idadi, na tena walitunyooshe na vidole wakasema na tuone ataishia wapi, lakini tulisonga na kumuangalia yeye aliyekuleta dunia kwa maana twajua yakua yeye ndo ajue mwisho wetu.............
kina sie ndani ya 2012 model tena march production!!!!!!!
JINA LA BWANA LIBARIKIWE!!!!!!










Haya mdau week hii itakuwa ni juu ya nini Mungu amekutendea na huoni sababu yakutulia lazima useme kwani kwa wengine yaweza kuwa kawaida lakini kwako ni muujiza kwa kweli hasa ukiangalia ulikotoka mmmh!!!!!! unaishia kusema  Ni kwa neema tuuuu!!!!!! . Usione aibu nirushie uwatie moyo wawili watatu watambue kuomba kwao na juhudi zao watarajie faraja mbeleni kwa Mungu yupo.

IN GOD WE TRUST


No comments:

Post a Comment