Wanasema "Cheka na wanao cheka , lia na wanao lia" hivi ndivyo utu unapoanzia..... Ukiona mwenzio analia tafuta hekima yakumfuta machozi mpe story nzuri, mtie moyo kwa namna yoyote ili asonge mbele Kwani , JARIBU NI KAWAIDA YA MWANADAMU ............... Na mwenzio anapocheka, cheka nae japo moyoni unamajeraha ambayo huoni tumaini kabisa, Jitie moyo jisemee mwenyewe kama mwenzangu kaweza hata mimi siku yangu ipo..........
NAYAWEZA YOTE KATIKA YEYE ANITIAE NGUVU.
USHUHUDA HUMJENGA YEYE ALIE NA HEKIMA NA UFAHAM, BALI HUMBOMOA YEYE ALIYE MPUMBAVU.................
Hivi ndivyo mama wawili alivyoamua kushuhudia wiki hii kwa habari ya ndoto zake ambazo ni kwa neema tu zimefanikiwa si kwa nguvu wala uweza bali ni.................. ni mengi wapendwa siwezi hata kuyahesabu na haya unayoyaona ni 2012 tu
JINA LA BWANA LIBARIKIWE
haya wadau km mnakumbuka nilikuwa na likizo ya week sita. ambayo mimi na familia yangu tulitumia 2weeks kwa ajiri ya msiba kijijini na 4weeks tulirudi Dar.yaaani nilikuwa busy sikuweza kupost wala kuwaona baadhi ya watu.............. ambao wengine mlisema najificha coz maisha yamenipiga, n.k
Ok this is what i was busy for.............
Ahsante Mungu kwa kuniwezesha kwa wengine ni kawaida lakini kwangu bado ni muujiza.

Hi dear,hongera kw ujenzi Mungu akuzidishie zaidi,mimi ni mdau nimestumble kwenye blog hii by chance,hii ni mara yangu ya 3 u nne kuitembelea though,swali langu tena very genuine,mimi nategemea kwenda nyumbani muda si mrefu kujenga sema sijui how much itanicost mpaka nyumba kufikia kama hapo ulipofikia wewe,nimekuwa nikiuliza watu wengi hawaweki mahesabu kamili inakuwa ngumu kujua jinsi gani nijitayarishe kifedha,anyway please kama una idea yoyote ile au kama unaweza kuwa open kwangu naomba unipe info kiasi gani umetumia mpaka kufikia hapo na muda gani umetumia mimi nina nitakaa 4weeks tu,please I'm genuine person mpenda maendeleo ya watu ukinipa info hizo nitafurahi maana nitajua jinsi ya kujitayarisha vizuri.
ReplyDeleteGood job, my email ni hotmima@live.co.uk
KN
Thanks my dear nimepata email yako,nimeshukuru sana maana hata nikienda hawatoniibia kwa kunidanganya kwikwikwi, sorry sikukujibu haraka nilikuwa napiga ''boksi''siku mbili hizi si unajua tena kuzichanga,halafu yaani umeninspire na house yako ya uko ulipo ni soooo bomba mbaya Mungu awazidishie yaani mimi napenda kuona watu wana maendeleo sijui kwanini yaani mpaka najiuliza,maana watu wengi hawapendi maendeleo ya wenziwao ila mimi najiona yaani ni furaha kuona mwenzangu kaendelea,again thanks for the information happy new life in your new house
ReplyDeletexoxo
Hi mamy, hongera sana kwa hatua hiyo.
ReplyDeleteFor the first time ndo naingia huku kwenye hii blog yako na nimeipenda sana kwa kweli hongera sana kwa maendeleo hayo.
Mi binafsi nashindwa hata kuanza maana kila nnayemuuliza pia naambiwa cost kubwa hadi nashindwa nianze vipi. naomba msaada wako please nami nijue ntajiandaa vipi.
Again hongera sana yaani nikiona mtu kafikia hapo kwa kweli anastahili pongezi.
my email ni khadijajigge@yahoo.com