Pages

Ads 468x60px

Sunday, April 14, 2013

KNOCK KNOCK BANGKOK........

HERE I AM...........JUST FOR FEW DAYS 
Habari ya ile ticket niliokabidhiwa siku ya my 5th Anniversary



nimechokaje???? long trip

mama wawili
mnyama mnyama chezea mimi  mpaka bag hahahahaaaa
checking in......ila jamani kwa dakika chache nilizokuwa hapa nimeshajifunza kitu hawa wenzetu ni wakarimu mnoooooooo.....
tumekuja kujinoa kwi kwi kwi ndio kwanza tunaanza 5years is just a number....... NA MUNGU ATUSAIDIE

Wednesday, April 10, 2013

HAPPY BIRTHDAY MY CRISTABELL

HATA SIJUI NIANDIKAJE........I  JUST CANT FIND ADEQUATE WORDS TO WRITE.... JAMANI NA MSHUKURU SANA MUNGU FOR THIS LIL ANGEL ......THERE HASN'T A SINGLE DAY IN THE LAST THREE YEARS THAT SHE HASN'T BROUGHT JOY TO OUR LIFE........JOY AND LAUGHTER AND SO MUCH LOVE.....

I HOPE SHE IS ALWAYS AS SWEET AND LOVING AND FUNNY AND UNIQUE AND CONFIDENT AND MAGNETIC AS SHE IS TODAY.  SLAY, CAREEN, AND I FEEL SO BLESSED TO LIVE OUR LIFE WITH OUR CRISTABELL ..........

HAPPY BIRTHDAY CRISTABELL

AMAZING JOURNEY
9 DAYS
6 MONTHS

1 YEAR
18 MONTHS

AFTER 2YRS

 JINA LA BWANA LIBARIKIWE


Tuesday, April 9, 2013

Monday, April 8, 2013

NIMEGUSWA SANA.........



Washirika wa Umoja wa makanisa ya Kikristo Mkoa wa Shinyanga CCT,TEC, SDA na PCT wakiombea amani Tanzania katika ibada iliyofanyika kwenye Viwanja vya Kambarage jana. 

 KWA KWELI HII DUNIA TULIONAYO KUNA WAKATI TUNAJISAHAU SANAAA......NIMEJIULIZA MENGI SANA KUPITIA HAWA WATU,JAMANI HAWA NI WATU WENYE AKILI ZAO TIMAMU WAMEAMUA KUFANYA HICHI KITU KWA AJIRI YANGU NA WEWE. TUNAPOONA MAMBO YANAKUWA SAWA TUSIDHANI NDIVYO YANAVYOTAKIWA YAWE KUNA WATU WANAGHARAMIA,WANAJITESA NA KUFANYA CHOCHOTE KWA AJIRI YA HUDUMA ILIYOPO NDANI YAO.......... SI WOTE TUNAKARAMA HIYO NI WITO.......HIVI VIBURI, JEURI NA KUJIINUA  KWETU BILA KUKUMBUKA NEEMA KAMA HIZI SIJUI TUNAZITOA WAPI???? KWA KWELI WABARIKIWE WOOOTE WENYE HUDUMA KM HIZI NA MUNGU AZIDI KUWATETEA NA KUWAPIGANIA.......HUDUMA YENU SI BURE NA AMA KWA HAKIKA KITU KILICHOTENDEKA HAPO KATIKA ULIMWENGU WA ROHO NI KIKUBWA MNOOOOO.......

THANKS SAM SASALI KWA PICHA.....

Sunday, April 7, 2013

GUESS WHAT?????

IT'S OUR 5TH ANNIVERSARY

Slay and I have been married for 5 whole years already!!! Am so excited about this anniversary year for us.......... meeeeiiin!!!
 YES I STILL DO..............

nakumbuka kabla ya miaka yangu ya ndoa, hofu na mashaka niliyokuwa nayo ni jinsi gani ningeweza kuingia katika ulimwengu wa ndoa???? kwa jinsi nilivyozungukwa na ndoa nyingi zenye matatizo na hata watu walivyoweza kuniogopesha kuniambia marrige life is so hard..........really???? of course YES, ups and down zipo lakini sio kivile km nilivyokuwa nimejazwa kiasi kwamba, eti ningefuata uamuzi ule  wakutoolewa aiiiiseeeeee!!! sijui ingekuwaje????ningejutajeee???? out of 100% ya hofu ya mambo niliyoambiwa yatatokea within 5 years of my marrige kiukweli labda 0.5% ndio yaliyonitokea nayo yana sababu za msingi ikiwa ni pamoja na ile hofu niliyoingia nayo kwenye ndoa, ilichangia kwa kiasi kikubwa sana...............kama ujuavyo wanasema ukikaa mkao wa kula hata harufu tu ukisikia unajianda unajua chakula kipo mezani kumbe upepo tu umepita, chakula hata motoni hakiwekwa kwi! kwi! kwi! kwi! kwa maana nyingine unavyoingia kwenye ulimwengu huu amini umeingia wewe kama wewe,usijifananishe na mtu yeyote,history za ukoo na marafiki achana nazo,Amini Mungu ndio aliyekupa ndoa  yakwako  na yeye ndio atakaekuongoza basiiiii.............


atukuzwe Mungu kwa ile neema ya kuniponda ponda, na kunigeuza mawazo potofu niliyokuwa nayo na kunifanya kuwa mpya tena hata leo nashangilia Uaminifu wake kwangu..............
ahsante Mungu kwa ajili ya Baba wawili najiuliza tuu hivi Mimi bila huyu handsome wangu ingekuwaje????? sidhani km Elimu yangu,kazi yangu na kila chenye thamani kwa mwanadamu kingeweza kufit hii nafasi aliyonayo...........mmmh!!!! naamini Mungu huwa anafanya milango kwa watoto wake lakini this door was perfect for me......sijawahi kujiuliza km kulikuwa kuna choice nyingine zaidi ya Baba wala wawili na ninaaamini haita tokea................
bila kuwasahau wazazi walionizalia Mume mweeeee..... kwa kweli sina chakuwalipa Mungu ndio anayejua ni jinsi gani naheshimu uwamuzi wao wa busara....ngoja niuchune maana maneno ni meengiiii hayaishi



muke yake halali

mama yake na Careen &Cristabell
NIMEKABIDHIWA TICKET YA VACATION NA BABA WATOTO YA KUJIHONEMULISHA HAHAHAHAAA!!!!......WAPI NAENDA, LINI  AND FOR HOW LONG  ENDELEA KUNICHUNGULIA HUMU HUMU

Wednesday, April 3, 2013

STREET WEAR


MUKE YAKE
NIKIWA KITAANI
MAMA WAWILI
THE POSE
I LOVE MY BOOT


LOVE UZ

Monday, April 1, 2013

EASTER WITH FAB.PEOPLE



muke ya Slay
sio makengeza jamani ni pose tu
mama wawili
kucha hizo hujazipenda?????
mashemeji na mume wake........ jamani tumeongezeka watz hapa kwenye kakijiji ketu lol!!! tukikutana basi ni full shangwe km tupo home vile........

haya sasa mliommiss mama yenu huyoooo akiwa na mama mwenye nyumba alietuhifadhi......thanks mamiiiii kwa kweli tulijisikia tupo nyumbani
mutu na mama yake na dada wa hiari
mama akifanya vitu....happy me!!!
hapo chacha
walikuwepo na hiyo shoo yao sasa hahahahaaaa!!!!