Pages

Ads 468x60px

Wednesday, February 20, 2013

YAISHEEE......

Wandugu naona topic ya jana imegusa sana hisia za watu duuuu........ mama wawili alijiombea msamaha mapema  alijua hili litatokea lakini asingeweza kuvumilia angekabwa tiba yake ilikuwa lazima asema and thats her  huwezi mbadilisha...............

tufikie hatua tuache mahubiri ya utoto jamani km maziwa tushanyonya, tukomae tuambizane ukweli, tusonge mbele.nanukuuu "ukitaka kuwa na waumini wengi waongelee mambo ya baraka, km mabinti wambie nyie  endelee na tabia zenu za kuchuna mabuzi Mungu atawabadilisha taratibu, bila kuwambia acheni dhambi lakini, mwisho wa siku lengo nini?????? kujaza watu au kuwasaidia watu wajue kweli??????" some of us we have been there guys........  nikujidanganya nakupoteza muda.....thanks God tulipata watu wakutuambia ukweli tukajipanga upya na kunia  na neema ikatujilia.........na ashukuriwe huyu Mungu anayeangalia tumemalizaje na sio tumeanzaje kama sivyo sijui nani angesimama.................. nawapendajeee dada yenu.

haya basi tumalizie Topic yetu  na hii clip aliyenyanyuka na anyanyuke aliekaa na akae hapo hapo  wanyalu tunasema, kalaga baho..................

muke yake tofauti ya 11000 na 10001 ya maneno ndo hii hahahahaaaa




10 comments:

  1. Ndiyo Maisha halisi wa Watu , haijalishi wake kwenye Ndoa au Nje ya Ndoa yaani Full Kuchanganyana, Nina Jirani yangu Mke wa Mtu Mambo anayofanya Utalia nikikusimulia ...Mwenyewe anajitetea Mumewe hamgusi kila akija kachoka na yeye Bado Msichana Anawashwa , Upo hapo ??

    ReplyDelete
  2. Hahahaaaaha hoiiiiiii..hii chiboko....Mkwala tuu kaongea yoooote....

    ReplyDelete
  3. labda kweli....ndio wa mbea wenyewe nyie...Bora umekili topic iishe ww mama wawil maana nilivyoona huyo topic yako nilikushusha kweli khaaa...sikuhz hatutegi sikio kwa mambo ya watu..km kweli mna yenu mengi ya kudiscuss

    ReplyDelete
    Replies
    1. Eh! Umemshusha kwa kip? Kwa kusema ukwel pole sana desperate house wife.

      Delete
  4. ULIMSHUSHA KWA KUWA UMEWAAMBIA MUACHE KUIBA WAUME WA WATU KWELI DUNIA KWISHA, UNAFAIDIKa na NINI , NJAA ZINAWASUMBUA. NA MITABIA MICHAFU JISHUSHE MWENYEWE. MAMA WAWILI ANAWAPA ushauri tu dada wa watu.

    ReplyDelete
  5. Mama yao niko hoi na hiyo tofauti kati ya 11000 na 10001

    ReplyDelete
  6. Et ukamshusha toka wap sasa,usiambiwe ukwel?si uache hiyo tabia yako ya kuiba wa wenzio?saga chupa unywe ukweli utaambiwa tu,

    ReplyDelete
  7. haa bibi wee tuna waume zetu wa ndoa ila umbea huo hatuna wa huyo bi kizee

    ReplyDelete
  8. Aahahaha watu bwana ukweli siku zote huwa unauma, na watu huwa hawapendi kuambiwa ukweli.
    Mama wawili bora ulisema bwana aliyelalamika ujue na yeye ni walewale.
    Jirekebisheni wadada haya mambo ni ya kupita tu.

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  9. mke ya msukuma kwa kutetea hujambo...au ingekuwa kuna chama cha blogs zingine tungezifungia maana hazinamaana....cheki nancy sumary ana miezi michache toka afungue blog yake ila inafundisha na kupostiwa vitu vya maana.Au unadhani hana mtt na yy na anaenjoy vilivyo ila hatuonyeshi kila siku trip zake za weekend maana ingekuwa balaa...

    ReplyDelete