Pages

Ads 468x60px

Thursday, July 18, 2013

LA FAMILY

mama na wanae
Baba na wanae
a warmly hug

and kiss
tumejificha.......muonekano wa nje kutoka chumba chetu
muonekano wa mjengo wa nje tulimojificha
hapo chacha
hallway
ndani ya chumba.....umeshapaelewa ni wapi???? unaruhusiwa kutugongea mlango
mama wawili
room service ndo mpango na mengineyo yanayofuata ni yetu........

13 comments:

  1. enjoy mama wawili.
    LoVe

    ReplyDelete
  2. Enjoy you time dear

    ReplyDelete
  3. Looking good dear, Enjoy your time and Thank GOD ALWAYS b'se you are blessed. Thanks 4 fixing the problem now I can comment.

    ReplyDelete
  4. uwiii rahaaa......I wish!God bless u all and my family too and all ur good followers families...AMEN

    ReplyDelete
  5. mmmmmmm umependeza

    ReplyDelete
  6. I have become your cheerleader! Sifa na utukufu ni kwa Bwana! Enjoy and stay blessed...

    ReplyDelete
  7. U ar blessed...those two little angels are so cuteeee....lov'em

    Mama twins,

    ReplyDelete
  8. Hahaaaa mengine yanayofuata ni ya baba na mama siri yenu inaruhusiwa si meshaharalisha.

    ReplyDelete
  9. Mama wawili umependeza sana, upo simple....ahsante nimewaona wawili wako love them sana.

    Mjienjoy mwaya na familia yako hapo haters ndo wanaumiaje sasa? ahahahahahha

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  10. Kipi cha kuumiza mdau wa musoma? Kwake vigeni hivyo ndo maana anatapatapa.

    ReplyDelete
  11. relax, with kiddies love

    ReplyDelete
  12. Mama wawili niweke kwenye maombi shost nami nipate watoto wawili wa kike kama wewe..ntafurahi sana.... ahahahaha

    Bado kidogo nitashusha hope nitapata ka baby girl kengine mana tayari wa kwanza ni demu...wink!!!!

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  13. We anonymous wa July 19 saa 12:21 unalo we kama hulioni wenzio wanaliona...eti kwake vigeni.... ndo wewe unae umia usingeweza kuyasema hayo. Hayo ni maisha yake sasa ishu za kutapatapa umezitoa wapi kama siyo roho inakuuma!!!! na hajaanza leo kutoka na familia yake wewe lazima utakuwa mgeni humu khaaaaa

    Kama huwezi kucoment si bora ungesoma neno la Mungu tu ukatulia???

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete