LIHIMIDIWE JINA LIPITAYO MAJINA YOTE, LILILONIFANYA LEO KUWA SHUHUDA WA MATENDO MAKUU ANAYOYAFANYA, AMBAYO HAPO KALE SIKUWAHI KUAMINI YAPO KATIKA HALI YA UHALISIA. NA HATA KAMA NILIJUWA YAPO KWENYE UHALISIA BADO NILIONA KUWA NI NDOTO KWANGU ISIYOWEZA KUTIMILIKA, KWANI SIKUONA MLANGO WALA NYUFA........... NA SASA AMENIFANYA KUWA SHUHUDA, NIMEONA,NIMEGUSA,NIMETENDA NA BADO NAENDELEA KUZINGOJA FADHILI ZAKE ........................INAWEZEKANA!!!!!!
WAWILI
BABA NA MWANAE
GIRLS
mtu na dada yake
another view
happy us
muke ya Slay
mama wawili
INAWEZEKANA............
Hongera Mwanamke UMEJAALIWA MWANAMKE MWENZANGU MSHUKURU SANA MUNGU WETU ,HAPPY FAMILY HATA KWA PICHA UMPROVE , SWEET KIDS HATA KWA PICHA UNAWAONA , WISHING YOU ALL THE BEST & STAY BLESSES
ReplyDeleteNyamachumu...
picha ya sita the chinese lady is admiring your figure lol umependeza na wanao
ReplyDeleteHua na admire sana maisha yako na familia yako...hongera mwaya.yo so blessed
ReplyDelete