Pages

Ads 468x60px

Sunday, January 19, 2014

THE LOOK


 Nsajikuta najipenda tuu  i might keep this  natural look for sometime wandugu........ inanirahisishia  sana hasa kulingana na hili joto na shughuli zangu ................ ila ndo zinakuwa na  unyunyu wa olive oil balaa



 vikilo vimeondoka tena kidogo mweeeee mi naona nijisahaulishe tuu maana kila ninavyopania ndo naharibu kabisa  bado najipenda lakini  huko kungine huwa na  mimi natamani tu nione kunakuwaje kama na nyie mliojaliwa mkiamua kuongezeka haya, kupungua haya yaani kote kote mnaweza. 

 fashion hazitupiti au sio wapendwa......ila tunazitengeneza kidogo maana huu mvao wengi wao lazima tumbo lionekane lakini mimi kama mnijuavyo ( ushamba mzigo) nimejitahidi kuziba kale kaeneo  kama sijakwambia huwezi elewa..... ....... kwa wavaa mawigi makubwa  na mliojaliwa mkono ivalie kata mikono utapendeza zaidi but again inategemea unaenda wapi  hilo ndo la msingi kuliko yoooote.
  my self..............
 nenda kajipatie na wewe high wilst just make sure kakuzibia eneo la tumbo hakatofautiana colour na suruali /skirt yako ili kasiweke tofauti.

2 comments:

  1. Dah mama wawili hako ka mwili utafikiri ka bint ka miaka 18!! Umebarikiwa mama....mi nakuomba ujaribu kutengeneza nywele zako kama za Mboni Masimba au Dina Marios kuna kipindi waliweka kama vi dread fulani yani zinakuwa rough kidogo utapendeza saaana, sijui hiyo style inaitwaje ila ni nzuri mno.

    Ni mimi mdau wako wa Musoma sicomment siku hizi nimetingwa na kulea, Mungu alinibariki mtoto wa kike nami nimekuwa mama waiwili kama wewe hahahahaha!! Love you Rose

    ReplyDelete
  2. Tumia Argan oil mafuta toka Morroco badala ya olive oil kwenye nywele... the best! Nywele zinakuwa laini, zinang'aa na haziwi greasy...utaniambia

    ReplyDelete