Pages

Ads 468x60px

Friday, September 27, 2013

HERI WAONGOJEAO MUDA ULIO SAHIHI.................

Swali langu lakizushi........ sasa wandugu siniliwaomba tufanye maombi ya mapatano kwa ajili ya hili????? hamjui kama maombi ya mapatano yanaweza kukausha bahari na kung'oa mlima?????imekuwaje sasa bado tuu tunasubiri???? maana kama ni nyanya zishaoza, mzigo tunao,pesa yakuwalipa watutengenezee website tunayo, nini sasa???? KIBALI......... hapa ndipo ninaposemaga goti ni kila kitu kama unaimani kama yangu ndugu yangu yote yanawezekana kwa KUOMBA ,KUSALI NAKUFUNGA.............unaweza kuwa navigezo vyoooote  bado mambo yakawa sio.......... ilibidi tuwe tunahesabu faida by now eti!!!!!!nimegundua mnanipenda mdomoni tuu utendaji ni zerooo ha!ha!ha!haa  nilidhani mtasugua goti kwa ajili yangu ili website irekebishwe faster kumbe mnanitegea eeeh!!!just a joke wandugu ahsanteni kwa maombi yenu ,ahsante kwa wote mnaonitumia ujumbe kutaka kujua kulikoni maana mmesha jianda kumpa support Mama wawili Mbarikiwe sana sana that is what we call love is blind........... mmetangaziwa tuu hata mzigo hamjui unafananaje bado wengine hamjasita kuanza kuuliza nitawatumiaje???? aiseeee!!!!!!
so far Mungu nimwema nilijua website ni kitu cha siku moja aiseee naukinga ?uhehe?ubena wangu ........mbaya zaidi nchi za watu lazima uwe kwenye foleni na utahudumiwa mpaka foleni yako ifika haijalishi we ni mgodi unaotembea au wakujiongeza kama mama wawili, haki lazima itendeke na bado huwa naamini kila kitu ni kwa muda uliosahihi otherwise huyu Mungu ninaye mwamini asingeshindwa kunipa kibali kwa maana nyingine nafasi ya upendeleo yakuhudumiwa faster faster............ we are not far away..........




check out some of  the KIDISH CLOSET will be available on day one............













6 comments:

  1. Our Living God will make a way my dia

    ReplyDelete
  2. Hongera wangu, naona mambo mazuri..

    ReplyDelete
  3. Kazana mtu wangu, ila mbona za boys hujatuwekea..

    ReplyDelete
  4. Mungu awe nawe dear. Inachukua muda hasa nchi za Watu, Mimi ninamuda sasa tangu website yangu iwekwe kwa foleni Na namba zao za vat ila Imani ndiyo nguzo nzito nikusiri kwa Imani kwani Mungu ni mwaminifu. Kila la kheri Mama wawili mwenza. Pamoja

    ReplyDelete
  5. mama wawili wavulana je?

    ReplyDelete