Pages

Ads 468x60px

Friday, September 13, 2013

FRIDAY LOOK

Usimtishie njaa mtoto wa mkulima huku akiwa ameshika jembe hata kwenye ukame atakomaa mpaka mazao yapatikane.........team mkulima.

wiki ijayop nakuja na new look ya nywele........... nafanya ile kitu roho inataka kwa sasa ila nawasiwasi nikazaa majuto.........stay tune!!!
Mke ya Slay
mama wawili

dare to be yourself......... hautajutia!!!


5 comments:

  1. pendeza sana mama wawili, hizo rangi nimezikubali..kwa kweli fanya kitu roho inapenda sometimes ni vzr pia kubadilika
    mdau

    ReplyDelete
  2. You look amazing! Simple, but still looking soficicated. Love your style.

    ReplyDelete
  3. Usije ukakata ntwele tu...Utajuta mami

    ReplyDelete
  4. wow umependeza sana..siri ya nywele jamn product gan watumia..blessed..

    ReplyDelete
  5. mama wawili mimi nakupenda sana siachikupitia blog yako hata siku moja so hii ni ushauri tu ukipenda fua ta usipopenda acha kila kitu iko on point ila kidogo ktk kucha za miguu jaribu kufanyia kazi ni kwa nia nzuri tu jaribu kuweka kucha za bandia sio lazima ziwe ndefu saana kidogo tu hata mimi ninayoandika hapa ktk maeneo ya kucha siko vizuri sana badika kucha bandia paka rangi inayofutia ni hayo tu otherwise umependeza sana ubarikiwe sana

    ReplyDelete