Pages

Ads 468x60px

Friday, June 1, 2012

Imekula kwangu ........

Mama wawili naugulia kwa kweli Careen na Cristabell kazi walioifanya mmmmmh!!!!!
HICHI KITI KIMETAFUTIWA CHEMICAL ZOTE ZAKUSAFISHIA KIMESHINDIKANA.......... hivi ingekuwa bongo hapa jamani si angeitwa fundi hapa angenipigia ngozi nyingine hapa mbona ningekisahau?????????? mmmmmh imekula kwangu  hiyoooo


mmmmmmmh!!!! ya nyie mlichomfanya mama!! nawapenda tuuu

No comments:

Post a Comment