KAMA BWANA ANGESIMAMA NA KUHESABU MAOVU YETU JE NI NANI ANGESIMAMA............ HAKUNA ALITE MKAMILIFU CHINI YA JUA SISI SOTE TUMEPUNGUKIWA ILA NEEMA YA MUNGU WETU INATUFUNIKA.
katika pita pita zangu nimekutana na hii nimeipenda na imenigusa..... SHILA UMENIINUA SANA KWA HABARI YAKUOMBA MSAMAHA......... kitendo chakuamua kujitambua na kujikosoa tena kuweka wazi yeyote asome i thumb up yo mamiii....... nazidi kujifunza jinsi gani neno SAMAHANI linavyoweza kukupa amani, hii nimeliona hata katika safari yangu ya maisha haijalishi yule muhusika yuko tayari kukusamehe au la lakini wewe binafsi ukijitambua na kuomba msamaha neno MSAMAHA linakubadilisha kabisa.
kitu kingine nilichojifunza hapa katika kusawazisha mambo usitake kutafuta tafuta ilikuwaje, sijui nani alihusika,au namna yoyote yakutaka kujilinda kupunguza makali ya tatizo...... na usimpe nafasi muhusika aanze kukutafuta tafuta umueleza a-z kwa nini ulimkosea. ( TUNAJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA)
ufuatao ni barua wazi kutoka kwa LOUISA SHEILA FRISCH inayoomba msamaha...
Kama binaadam hakuna aliyesahihi ,kila mtu anamapungufu yake, Mungu
utumia njia zake nyingi kutufunza vitu na vitu vingine there not just vitu
ambavyo tunaweza vielewa ktk upeo wakibinaadam,.nnachoamini ni moja ya
changamoto tu na moja ya somo ya mimi kujifunza.
Kilichotokea wiki hii ni makosa yangu mimi Shilla I ll take all the blame, nawale nliowatukana hapa nakumention majina Yao au kwa wale waliokuwa
wanajishuku labda nawaongelea wao pia naomba mnisamehe,pia nakwawale mliosoma
labda mkawachukulia kivingine kutokana na maneno yangu plz plz naomba tu mjue
nikazi ya shetani na Hawa watu hawako hivyo maneno yangu yasiwe chanzo ya nyinyi
kuwaona vinginevyo, naomba mchukulie nimoja ya mapungufu nliyonayo.
Kwako kaka Joe na
mkeo Vicky na watoto wenu nimewakosea sana naomba mnisamehe n najuwa haitakuwa
that easy kunisamehe bt I believe Mwenyezi Mungu atawapa wepesi ktk hili.
Nakwawale wote wengine marafiki zangu wapendwa ndugu marafiki mnisamehe kwa nj...ia
yoyote ile niliowakosea kujua ama kutokujua.
Pia kwa wazazi wangu, n to those who trully luved me na ambao wananijuwa inside
out nawanaelewa ninikilichotokea pia nisameheni kwa kuwafedhehesha,na
Pia napenda kuwa shukuru wale dada zangu nawale ambao waliojitolea kuwa na mimi
bega kwa bega kunijali kwa kuniulizia ambao walibeba hili tatizo langu Kama la
kwao hawakulala usiku mchana during dis week kutaka kujua kma niko ok sina
chakuwalipa Bali mbarikiwe na Mwenyezi Mungu awarudushie maradufu,nnachohamini
ninjia moja wapo Mungu ametumia nijifunze/tujifunze ansvyoweza yeye, plz after
this ningeomba nisipigiwe sim kuulizwa swali ilikuwaje au nani kakwambia/or
what really happen sitopenda kujibumaswali kma hayo n let by gone be by gone coz i belive
kutakakchimba chimba vitu ni kuzidi kumpa shetani nafasi na attention so
nisingependa kumuingiza mtu mwingine matatizoni coz naomba tuelewe jinsi Mungu
alivyonanguvu, hata shetani ananguvu pia au nisingependa kutumiwa Kama chombo
ya kwenda kuvuruga mtu mwingine kisa ni rafiki yangu au alikuwa na urafiki na
adui zangu au adui zake ni marafiki zangu, therefore namwachia Mungu huu ni
msalaba wangu naomba niubebe mwenyewe bt mbele ya Mwenyezi Mungu nimekosa there
4 sinakinyongo na mtu na ninawapenda wote, mbarikiwe sana.

NIMEKUPENDA BUREEEE MY DEAR
MSISITE KUMTEMBELEA DUKANI KWAKE LOCATED @ MASAKI DAR ES SALAAM TANZANIA AU MPIGIE SIMU +255715704974
ANGALIZO
SHILA KAMA YEYE HAJANITUMA NIPOST HII HAPA BEYOU, MIMI MWENYEWE MAMA WAWILI NIMEWASHWA, NIMEIPENDA BAADA YAKUONA AMEPOST KWENYE BLOG FULANI......KIZURI KULA NA WENZIO HAHAHAHAAA!!!! KWA LOLOTE NITUHUMIWE MIMI HUMU HALAFU NTAWAOMBA MSAMAHA BAADA YA KUJIFUNZA KWI KWI KWI!