Mkiona picha hazieleweki mjue nilialikwa mimi na camera yangu............... Dakika za mwishooo ndo huwa najikumbuka ha!ha!ha! mbaya zaidi huwa mchelewaji hata muda wakujipiga ze look kabla kuondoka huwa sina....... basi sasa ndo mnionje kihivi............Wale marafiki zangu facebook bila shaka mmeliona tukio ha!ha!ha!
na chizi langu mwenyewe lakizambia........
maelekizo yakushika Camera ..........maelekezo yenyewe yakizungu kha!! Mama wawili lazima mikono nayo inisaidie ki!ki!ki!kii
Nawapenda
No comments:
Post a Comment