Pages

Ads 468x60px

Wednesday, May 13, 2015

MAMA WAWILI...........


Mwenzenu hako kakofia ndo zawadi ya siku ya wa Mama ki!ki!ki!




nikajifanyia naka tea party kamwenyewe mwenyewe chezea wewe  raha jipe mwenyewe ukingoja watu wakufanyie  utasubiri sanaaaa..... watu wanawaza bills mpaka wakakukumbuke ni neema ujue...........ha!ha!ha!

Mama ya nani huyu????
 haya sasa kasimama.......

1 comments:

  1. umependeza mamy kiatu cheupe safi kimeng'arisha black na hiyo zawadi ya mother day yani nimeshindwaga kuvaa vikofia kichwani hii style itanipita tu

    ReplyDelete