Pages

Ads 468x60px

Friday, March 27, 2015

THE LOOK.........................


Huyu nani eti????


ha!ha!ha! kuna kitu nimejicheka hapa guess what?? nikupe zawadi ki!ki!ki!

Kajiuso thatha ee bwana ukiona unashinda juani kila siku kwenye mabox na bado ukirudi makeup inafunika funika  ujue hiyo makeups ni???????

Kibokoooooooo.............Nyie bwana hii makeup mkombozi bwana sifa acha tuzitoe




The face she makes  akiwa bado anatafakari nakusubiri hekima imuongoze.........

love you

3 comments:

  1. umependeza sana mamy

    ReplyDelete
  2. Congrats una kitumbo !!

    ReplyDelete
  3. Umependeza sana mama wawili dah...blue imekutoa wangu ila katumbo hapo kati hahahaha


    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete