Rafiki Surgical Missions is a non-profit charity that sends teams of qualified surgeons, anaesthetists, nurses and allied therapists to Tanzania to provide free surgical treatment and medical training.
The organisation raises funds in Australia and Tanzania to support professional surgical teams who travel to Tanzania from Australia. The teams and other volunteers work in collaboration with Tanzanian Hospitals, Governments and other stakeholders to provide surgical treatment and surgical teaching.
Rafiki works with Tanzania’s Ministry of Health, and senior medical and training officials to facilitate the delivery of the Rafiki programs.
Haya wandugu na sisi tulisupport kwa namna hii, kiukweli ilipendeza na tulifurahi mnoooooo!!! kikubwa zaidi tumetumika kuleta smile kwa mtu huko nyumbani.
Wandugu waliniimbia (Mungu afanye nini ili wanadamu tujue anatupenda??????) Mama wawili nilishindwa kujizuia kusimama........
Raha eeeh?? ku fundraising nakupendeza na masmile...... .......
Tulikuwepo
$190 tu! imeongeza furaha kwa jamii yetu nyumbani.... Mbarikiwe wote mliochangia kwa namna moja ama nyingine. Tufanyeni zaidi na zaidi mbona tunaweza!!!!( Baba mwenyekiti chonde chonde Baba na wasaidizi wako TUNAWEZA)
Olga & Huby ( mtaelewa kwa nini kijana alikuja kupiga hodi nyumbani khaa!!! Olga we ni mrembo bwana duu!!!)
na shemeji yangu mimi
The boss him self & wifi yetu
my Dada Doti & a friend
Mahede & Wife(Katibu wa Watanzania Western Australia)
yeyoooooo ni shiiiida, nisemaje sasa bwana ???? picha yenyewe imejieleza. (Esther& Huby)
Hivi kuna mtu amewahi kumshuhudia shemeji yangu mie kanuna??? utakuwa umemfananisha bwana!!! halafu sasa ukiwa karibu naye lazima usahau shida anakuambukiza hayo ma smile ukikumbuka shida zako basi we umeshindikana...............
Majembe yangu hayoooooo!!!! haya wadau na hawa ndo Kikwete & Salma kwa ajili ya Watanzania waishio Western Australia. Kama ulimpiga kura ni amini kura yako haikupotea aisee na hata kama ndio yako haikuwa kwao lakini imekuwa kama ilivyo please let us support them............. mi nawakubali mno I mean majembe kweli kweli
shiiiiiiida nyingine iko hapa sasa duuu!! haya wandugu wa ni marafiki tuuu ( wameniambia wenyewe)
Lily na Sally( Mama mwenye kigoda)
nahisi hili swali huwa hunijibu vizuri!!!!! hivi ni kweli hii Damu yakichaga na kisukuma?????
Hapa chacha Jesca wangu tunakumiss sana unajua kwenye huu ulimwengu wa networking??? hatujakuzoea Bwana turudishie hii cute face,body,.......,.......,...... Muna wee unajua nakupenda eeeh!!! umejisemea mwenyewe Toto la Mujini haya bwana mimi ngoja niendelee kuchunga mbuzi zangu huku kijijini.
Mama Africa (Lemmy) ulipendezaje sasa ++++ vile vigeregere vyetu sasa Ahsanteeeeeee!
Diane nimechoka kukusifia ujue??? (Lily,Diane,&Lemmy)
Mona &Diane
Mona,Lily&Diane
Happy Ladies (Mariam,Doti & a friend)
Mwenyewe amesema hebu waite kaka zangu mie nipige nao picha!!! haya Mama Mutu na Kaka zake
Boys
happy boys
Huyo hapo & a friend
Happy Ladies
Mutu na Dada Yake.......( amejisemea mwenyewe the boss "mimi mu......... niko ulaya nakuraaa raha" in his voice)
walikuwepo wengiiiiiiiiiiiii nimechoka mwenzenu kupost picha zoooote
The woman behind the Camera
dakika za mwisho na mie nimejikumbuka hizo ndo hasara zakuwa mpiga picha.
The END.........
Lots of blessings to all of you for participating in such a great cause. On another note, everyone looked so good. Full kupendeza. + i am happy to see Sado, its been long!
ReplyDelete