Pages

Ads 468x60px

Wednesday, May 22, 2013

GIRLS

Jamani hakuna faraja km nikirudi nyumbani nakuta watoto wangu wanamsubiri Mama yaani wanajua kabisa  Mumy is coming soon........ aaaawwwww!!! sasa na Bibi yao ananipatiaje????  anawaandaa fulani hivi na anajua tukikutana na wanangu ni full fujo kila mtu atapiga story  za uongo na ukweli   Careen atanisumlia siku yake na shule iliendaje Cristabell nae ataniambia ameshindaje na BIBI yaaaani!!!! leo nimeona na vipicha vipigwe Bibi kanifurahishaje na buti za Cristabell ha!ha!haha! zilikuwa za Careen  last winter, Cristabell vyake vinambana  huyo Bibi alivyovifukunyua nakumvalisha Cristabell mwanangu hata havimtoshi km umuone anavyotembea Teh! Teh!Teh! halafu namuuliza Bibi hizi buti nishazisahau humu ndani umezitoa wapi????? kajibu mimi nashangaa kila siku mnanunua tu tu tuu wakati watoto  wanamiviatuuu miiingi wenzenu tulikuwa tunawanunulia tukijua kabisa hivyo viatu mtakaa navyo mpaka miaka kadhaa( in Bibi voice) kwi! kwi! kwi!

huyu nae mpenda picha km Mama yake
napenda sana muda na wanangu wananifundisha mengi sana.... wanamjulia mama wawili mnooo.... wanangu hawalali km uliondoka bila kuwahakikishia utachelewa kurudi.lazima uage kiss,hug, nakuwambia leo muda wakulala make sure you pray mumy  n Dad will be late...........ok mumy we love you Mumy & Dad ( in their voice) aaawwww!!!

Slay's girls
up1 up! up!

9 comments:

  1. Loh wanao wazuri sana you are blessed! Am happy for you mama wawili.

    ReplyDelete
  2. NICE FAMILY MAMII SAFI SANAAAAAAAA YN......

    ReplyDelete
  3. Mama wawili humu ndani mwako unaogelea au ni back ground tu? We sio mwenzetu unatutia moyo umebarikiwa best

    ReplyDelete
  4. Nawapenda sana wanao wana gap ya miaka mingapi?

    ReplyDelete
  5. Nakuonea gere jamani awwwwwwww naomba na mimi iwe ivyo na i will go higher than that in Jesus name.your family is lovely Rose.Stay blessed.

    ReplyDelete
  6. Lovely family, u are blessed mummy, i like ur life style na the way unatenga muda wa kucheza na watoto wako, big up.

    ReplyDelete
  7. Hivi Rose una umri gani?yaani you look so young ni kama mtoto mwenye watoto hahaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  8. hadi raha jaman,kiukweli naipenda familia yako

    ReplyDelete
  9. Mbona umetuita girls kuna wengine wanaosoma blog yako ni wanaume.

    ReplyDelete