jana na leo ilikuwa mikiki mikiki kwa kweli sikuweza hata kublog............ tunakimbizana na maisha, ahsante Mungu mambo yote yalikwenda sawa nimeaamka na tumaini jipyaaaaaa..........
nilianza na hapa mambo yakicareer zaidi
walikuwepo toto nzuri hawa
baada ya matumaini smile zakutosha
wazurije????
my huby picked me up for a family business
nako tumaini lilikuja........ nachukia mtu ananipa chakula cha siku moja halafu sijui kesho itakuwaje lakini km utanipa mbinu ya kukomaa mwenyewe, nioneshe shamba na unikabidhi jembe nijilimie mwenyewe niwe na uhakika wa maisha ya badae Yes utanipataje hata kwa kunidanganya ntakusikiliza oooh yes them people got me....... it was a fab tym
mama wawili
muke yake