" Education is Accessory......... " huo msemo wa Mama wawili......Yes we need it km kunauwezekano ni bora kupata kuliko kukosa but its not everything that we need in our life........ ambayo ikapelekea tudharauliane nakutokuheshimiana. na wengine kujiona wao ni bora kuliko wengine .Mungu kagawa vipawa tofauti tofauti.........Hujui kwa nini mwenzio kakosa na wewe umepata...... Haimanishi waliokosa wameshindwa maisha au waliopata ndo wako juu zaidi ya mwingine BIG NO! NO! NO!......... Tuheshimiane.
HASA KWA WATOTO WETU SI KITU CHAKUPUUZIA KAMA WEWE HUKUWEZA BASI JARIBU KWA JINSI UTAKAVYOJALIWA PANDA MBEGU YA ELIMU ANGALI MDOGO
HASA KWA WATOTO WETU SI KITU CHAKUPUUZIA KAMA WEWE HUKUWEZA BASI JARIBU KWA JINSI UTAKAVYOJALIWA PANDA MBEGU YA ELIMU ANGALI MDOGO
Hongera bby
Eeee Mungu wawili wangu please (shika sana Elimu usiache ikaenda zake BIBLE)
Proud Mama hongera umekuza my sister Vero
Asante Rose, stay blessed!
ReplyDeleteUnayako usituchokoe kabisa wewe
ReplyDelete