Pages

Ads 468x60px

Thursday, March 1, 2012

WADAU WEEK END MOJA MAMA WAWILI ALIENDA KUTEMBELEA MINES SITE KUONA WENZETU WANAFANYANINI DUUUUUU!!!!! MAMAWAWILI NILIOGOPAJE???????? YAANI NILIKUWA MASAA YOTE NAWAZA HIVI HUU MWAMBA UKIDONDOKA ITAKUWAJE NA MIMI NIMO NDANI???????????????????NAHISI KILE KILIKUWA NIKIPIMO CHANGU CHA WOGA YAAANI NILISAHAU KABISA KM KUNA WATU HUMO KWAO NDO OFISI KM ZILIVYO OFISI NYINGINE...........
KWA KWELI NILIJIFUNZA KITU  MDAU ENDELEA KUNICHUNGULIA MDAU NTASHARE KITU HAPA HAPA UWANJANI KWETU KWENYE TOPIC YA MTAZAMO............

yaani hiyo ni ofisi ya mtu

yaani nilifungwa hapo kiunoni ++++++hizo buti nahisi niongeza kg 10

nikakutanae niliishia kupiga goti nakumwambia hongera na pole

mwenye ofice mwenyewe full smile

mama wawili @ list smile niliambiwa hapa ndo if anything happen mnaingia humo then ndo uokoaji unaanza hahahaaaa nilijiona @list nipo safe
alikuwepo nexst office hongera na ahsante sikusita kumwambia
baba wawili na mama wawili

nilishuhudi kifusi cha dhahabu kikibomolewa na huu mmashine
ofisi ya mtu hiyo
UJUMBE: KAZI NI KAZI HESHIMU THAMINI KWA KADIRI KILA MMOJA ALIVYOJALIWA IWE MANAGER, MMBEBA MABOX,KULEA WAZEE .....................................................

No comments:

Post a Comment