Haya mniwone tbt zitaendelea mbele ya safari kama ikibidi ha!ha!ha!
sasa kabati la nguo, viatu begi lilihamia Tanzania ha!ha!ha! yaani vilivyobaki ni sawa tuu naanza na moja hii begi mtaliona sanaaa......
kununa vepe???
Muke ya Slay huyoooo
Nawapenda
Acha basi!! Ujue tbt muhimu watu macho yalikua ya nasubiri kwa hamu ha ha ha ha ha ha ha lol!! By the way umependeza Sana muke ya slay!!
ReplyDelete