Anakwambia nataka nimjue HUYU MWANAUME AMBAYE UPEPO NA BAHARI VINAMTII.......MUNGU KUMBE JINA LAKO JINGINE NI REJECTED??????, ...........ADUI UNAOWAONA LEO HUTAWAONA TENA.........ALIPORUHUSU JARIBU HILO ALIJUA UNAWEZA, ZAIDI NATAKA NIMJUE.........EVERY DAY SUPRISE,SUPRISE SUPRISOOOO......
nisiwamalizie utamu wandugu sikilizeni.......VERY INSPIRING!!!!!!! GOD BLESS YOU CHRISTINA SHUSHO......... KEEP IT UP MY DADA.........yaani hujui tu jinsi unavyotumika kutibu roho za watu......
Kiroho safi wandugu sina nia yakuuwa soko la mziki wa mtu ila kiukweli nikipita kusikiliza hizo nyimbo zinazosifiwa mdundo huwa nauelewa kidogooo labda kwa sababu napenda midundo......... lakini ujumbe huwa sielewi kabisa hakuna jipya zaidi yanikinywa maji nakuona kwenye glass na hadithi za abunuasi na maneno yakiuchokozi chokozi ambayo yamenia kumfadhaisha mtu................... sasa sijui ndo ushamba wangu au???????kweli ushamba mzigo khaaaa!!! ila ndo nimeridhika nao aisee kama ni maombi naomba mniombee niwe hapa hapa au niingie zaidi shambani ya mujini yamenishinda mwenzenu.................(msiende kunisemelea tuu nimetoa la moyoni mwenzenu nikilizuia litanikaba)
kama wakunielewa utanielewa tuu we sikiliza hili goma..........Dunia tulionayo wandugu tunataka kutiwa moyo,kuinuka,amani,kurekebishwa kwa nia yakusonga mbele zaidi ya yote KUMJUA HUYU ALIYEKUFANYA WEWE NA MIMI LEO TUWE.
Anajinomaje sasa na mimba yake ?? ujasiri wa kile anachoamini sasa, Mama wawili mbona burudaniiiii.......