Pages

Ads 468x60px

Tuesday, April 16, 2013

VACATION:TEMPLE TOUR


US
LETS GO!! humu ndipo alipo Mungu wao
Mr & Mrs mbele ya Mungu wa wenzetu
wengine tulikuwa busy kushangaa wengine walikuwa ibadani
tumetoka lakini viatu tulivulishwa hiyo ni lazima...

 with my girlfriend
 kumbukumbu za King  waliopita
nilikutana nae ananipikia chapati kistyle
mara madafu hayo.....weee nikajipendela faster
tukakutana nao ....hawa ndo viongozi wa dini yao....
matemple ni mengi tuliotembelea aiseee na 90% wanaabudu ile sanamu ya Gold (Buda)
viongozi wakifanya mambo yao

waumini na kinasie tukifanya yetu yaliyotupeleka
mama wawili
na ngoma ni moja yakivutio chawatalii
girlfriend na yeye akiwakilisha........
tulimalizia siku humu duuu madini jamani km mpenzi mate lazima yakutoke mengine hata sikuwahi kukutana nayo.......

No comments:

Post a Comment