Hivi kunafaida gani mtu kuwa muongo wakudhamiria jamani...... Mtu unaamua kabisa kumzushia fulani kasema hivi kwa ujasiri mkubwa bila hata kujari madhara yake!!!!!!!! hivi wewe ni mwanadamu wa aina gaaaaniiiii @?????????na huo ujasiri unatoa wapi? hofu hakuna,hekima hakuna, busara hakuna,unyenyekevu hakuna,kupondeka pia hakuna,hivi una habari kwamba majibu ni hapa hapa duniani?nini kina kusumbua???? Wivu au???? ndugu yangu usijaribu hata sikumoja kumuonea wivu mwenzio kwa roho mbaya!!!!!!!!! utalaaniwa na utabaki hapo hapo.kumbuka huyo mtu mmezaliwa tofauti na kila mtu alipewa kazi yake kukamilisha hapa duniani.kuwa na wivu wa maendeleo, toa pongezi panapostahili, mtie moyo mwenzio, mshauri,muombee upate thawabu kwa Mungu kuliko kutafutafuta vitu unajishushia hadhi.
hivi kweli hamna kitu cha kufanya ndugu zangu??????kuna wagonjwa wangapi hospital ya karibu yako wanahitaji faraja zako, yatima nao wengi tunao kawafariji basi, Mungu atakuheshimu kwa hilo umeshindwa hayo basi heee soma neno la Mungu likupe hekima na ufaham ili uishi kwa akiri katika ulimwengu huu wa sasa......haya na sisi tuliopo nchi za watu basi jamani mambo ni meengi sana.....kalee wazee basi uongeze kipato ndani,kafagie utume $$$$$ nyumbani huko watu wanalia njaa.....@ unaona aibu watu watakucheka????????? yaani mi mtazamo wangu wewe na huyo anaekucheka ndo mshamba na mjinga hamjui maisha ni nini?????imeandikwa, kazi ya mikono yako itabarikiwa. na Mungu anayo haki yakumuadhibu mtu yeyote anaemkwaza mwenye haki......kaaa ukijua siku yako ipo na utalipa hapa hapa dunia. Kufa ni ukurasa mwingine lkn mavuno ni humu humu.
Kwa wale ambao haya mambo yakuzushiwa zushiwa yanawakuta, Tafadharini achaneni na hao watu hizo ni roho kamili zinazotaka kukurudisha nyuma,halali usingizi kwa sababu yako, yaani we kaza buti songa mbele ukigundua wivu wake uko wapi ndo hapo hapo pakumuumizia na kumuombea abadilike mpaka akome atubu na amrudie mungu wake. kweli inajeruhi lakini usimpe nafasi maana amebeba roho ya uharibifu huyo.THEY DONT HAVE LIFE.
MUNGU atuhurumie hakuna alie mkamilifu lakini, tunapona kwakujengeka, mafundisho kukosoana,kuambizana ukweli.
Thursday, May 3, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment