Pages

Ads 468x60px

Thursday, February 16, 2012

TANGAZO


Wadau tembeleeni tovuti ya utumishi wa umma -Tanzania kuna matangazo ya ufadhili na nafasi za masomo kwa nchi za Australia,Mexico na China.Kozi za muda mfupi na za muda mrefu.Pia kuna nafasi nyingi sana za kazi zimetengazwa kwa kada tofauti za kitaaluma.Kama wewe si hitaji lako ...fikisha ujumbe kwa anayehitaji. INGIA HUMU

No comments:

Post a Comment