Pages

Ads 468x60px

Tuesday, January 31, 2012

MADAKTARI PLEASE PLEASE !!!!!



HII NI HATARI MADAKTARI PLEASE TAFUTENI NJIA NYINGINE JAMANI KUMBUKENI HUU NI WITO MLIOPEWA NA MUNGU KUOKOA MAISHA YA WENGINE.....HIVI MNAJISIKIAJE UNAPOSABABISHA VIFO KWA SABABU UMENYIMWA KULA NYAMA NA UWEZO WA KULA MBOGA YA MAJANI UNAO?  WAPENDWA WANGU MJIULIZE BASI MNAKUMOSHA NANI??? KWA SABABU KM NI SERIKALI BASI INGEWASIKIA NA KUONA HURUMA JUU YA WATU WANAOTESEKA...........NA VIPI HAWA VIUMBE WASIOJUA KUJIPONYESHA WALA KUKUTIMIZIA MADAI YAKO ILI UWASAIDIE? PLEASE PLEASE  PLEASE.........

No comments:

Post a Comment