Sunday, May 27, 2018
Wednesday, May 23, 2018
NGUVU YA NDOTO........
Nilichojifunza kwenye maisha kuna nguvu ya ndoto ndani ya muhusika........ wakati wengine wanaiangalia ndoto yako kwa jicho la pembeni wewe kwako huwa inajicho la kipekee....... Wakati mwingine huwa haikupi nafasi ya wewe kuielezea ili ieleweke kwa wengine maana haitegemei uelewe wa mtu wa pembeni..... Ndoto wakati mwingine inausiri mkubwa sana lakini huwa inatoa nafasi kubwa muhusika kupenyeza, wakati mwingine mipenyo unayopitia huelewi kwa wakati huo ila kuna muda itakupa nafasi yakuelewa safari yake ni kukufikisha ndotoni.......
Wakati mwingine unaweza ukahisi ndoto hiyo haipo tena maana ulishaikatia tamaa kinachonishangaza ni kwamba ndoto huwa haipotei usipoonyesha ushirikiano leo huwa inatengeneza mazingira ya wewe kuna na muhemko nao kwa wakati.
Ninachoweza kusema ndoto ni lazima ikamilike na mkamilishani ni muotaji ndoto japo kuna mazingira ambayo kuna watu lazima watumike katika kuikamilisha ndoto yako.Sifa yake kubwa huwa naipenda muda wa ukamilifu unapokuja utendaji wako huwa unakuwa tayari, yaani huwa kama umekaa mkao wakula hivi , huna papara kama mwanzo kitu ambacho kinakusaidia utendaji wako uwe makini na wakuzingatia nini likupasalo kufanya....
kama hunielewi kamsome Yusufu na ndoto yake.....
Tuendelee na mapicha
Muotaji huwa kwenye mazingira yasiyokuwa na ushirikiano kabisa
asiporuhusu mwiingiliano basi huwa jicho lake lakipekee juu ya ile ndoto
wakati wengine wanaona haiwezekani yeye anatabasam kwa unyenyekevu
Nawapenda
Saturday, May 19, 2018
TUPOGO.......
Wapendwa nimebanwa kidogo ... Tuna ugeni wa Billy Graham ministry ambapo mjukuu wake Willy Graham amekuja kutuhudumia..... basi sasa na sie Mungu katupa kibali chakuwa macounsellor wa event basi ndo kukimbizana tuu.... topic yetu ya Mama sijaipotezea ntaipatia muda nivumilieni.
Baba na Mama wa...............
Tukishughulishwa tunajuaga kushughulika ha!ha!ha!
ndo nini sasa Ha!ha!ha!
Haya tunawapenda
Sunday, May 13, 2018
MOTHER'S DAY TREAT
Kuna kitu chakiubunifu hapo lazima ujifunze eti eeh! binafsi nimependa combinations za colour na tray...... naamini aliyetengeneza hii gift aliangalia sana colour combination........... anyway! nimeshamjua aliyemtengenezea na alijua wapi atakaponikamatia.... i love everything aisee.
Kaka zangu kama mnanisoma huko please vitu kama hivi means a lot kwa mwanamke aisee....... sometimes hata havihitaji bajeti ya hivyo yaani......... Please do kwa mawifi zangu please. na ahsante kwa kufanya i know how much hivi vitu vidogo vidogo vinavyoleta maana kwenye maisha ya mwanamke.
Kwenye suala la shopping yes i trust him..... kuanzia mimi, wanae na hata grocery shopping ni mzuri mnooo...... am thankful
Zawadi ya mwangu Cristabell nimejieleza kwenye clip ila sema kwenye picha nimechanganya kikombe ni cha Careen
Big sister na ujumbe wake humo.
Ahsante YESU
Saturday, May 12, 2018
TUMERUDI
Nimewamiss mnoo nawapenda mnoo........ nimejitetea sana pale chini kwenye videoHa!ha!ha! mnisamehe natusamehane.
Haya hii nayo ni baby shower, Mama shughuli kama mnavyonijua Ha!ha!ha! Its a boy....... kwa vile tulifanyia nje kwenye garden basi tukaona theme green na blue lakini ili isiwe too much then tukaona soft greens na soft blues ziwe dress code............Basi sasa Mama shughuli ndo nikatoka kihivi ukizingatia mimi ndo mama shughuli kila kona nipo basi tena nikawa mwepesi ila viatu ndo nilitoa ha!ha!ha!
Jamani kwani wale wakipilipili wezangu mliishia wapi maana siwaoni tena Ha!ha!ha! mwenzenu kamchicha kamekubali
Yes wapenzi am back.....
Deco
nimewafutafuta msiwaone wenyewe my idea muone hizo soft colours
Nawapenda!
Subscribe to:
Posts (Atom)