Jamani wamtangaze basi watu mambo yaendelee khaa!! poleni ndugu zangu inaogopesha lakini Mungu awe yupo nanyi............
haya hii nayo ilikuwa mualiko mwenye shughuli mwenyewe ndo huyo my shoga huu akiwepo shughulini huwa narinagaje maana tunakitwanga kiswahili ha!ha!ha! ye mwenzangu mkeyiiii huwa tunagongana sana kwenye vishughuli ila this time ye ndo aliyetushughulisha.......
hatua zilizidi wapendwa gauni likapasuka ha!ha!ha! danganya toto
Maombi yangu amani itawale tumalize salama mipango iendelee.....
nawapenda