Unajua nini?? iko hivi, kila kitu huwa kina sababu, ni vizuri kukipa nafasi japo hata kwa sekunde kukitafakari.......... Waamini tunaamini Mungu anaweza kutumia kitu au mtu kusema na wewe......
Mara nyingi huwa na tofauti ya mapokeo labda kwa sababu aliyetumika ameshindwa kufikisha ujumbe au mpokeaji ameshindwa kuupokea km ulivyokusudiwa.................
Kushindwa/kuweza kwa hawa wawili kupokea au kutoa ujumbe huwa kunatokana na mazingira au mahusiano yao.........
Ninaposema mazingira ninamaana hii, labda ujumbe ulivyokuja umekuja katika muda ambao kiakili za kibinadamu unaona kabisa sio sahihi yaani hutaki kuamini kama huo ujumbe umekusudiwa kwako.... unachotaka kuamini kwamba ni haters tuu .............
Sikia ni kwambie adui huwa anatumika vizuri sana kukupa ujumbe, kwa kauzoefu kangu haka kadogo niliko nako,nimegundua hana huruma yaani ,hajali maumivu ya muhusika,mara nyingi huwa anajua uhalisia uliopo ila huwa anatafuta namna yakuitosheleza akili yake ijue kile cha uhalisia sio cha ukweli maana hakifurahi kukiona, akiwa kwenye harakati za kuvuruga na kutafuta mbinu za kuvuruga hapo ndipo pia anapoanza kutumika ha!ha!ha! Mungu atamtumia kukupa ujumbe how bad adui anawish kukuvuruga...... ni namna tuu yakukumbusha endelea kuishika hiyo neema uliyonayo...............wakati huo huo adui hawezi jua km anatumika for a good reason yeye ataamini amekupata sasa ha!ha!ha!ha! si tayari amejipatia kaushahidi kakuiridhisha akili yake!!!!atahakikisha anavyokufikishia ujumbe hilo jambo limejeruhi hisia,akili,............... maana hizo ndio ndoto zake bila kujijua anatumika............ ki!ki!ki! kwani???? hujasikia, Mwizi huja ili kuharibu,kubomoa na kuiba????? unategemea nini hapo sasa???? Mpendwa SILAHA ZA KIROHO.
ninachotaka kukutia moyo hizo bado ni mbinu na pia ni ujumbe unaokwambia usijisahau sana, pamoja na yote endelea kujivika silaha....... kuna mambo yanayoendelea nyuma ya pazia ambayo Mungu hajataka kukufunulia, Adui halali huko aliko anatafuta kila mbinu kuyavuruga hayo mazingira uliyo nayo sasa..... Mungu ameruhusu tuu usikie labda km uvumi ili usijisahau...........
1Petro 5:8 (Mwe na kiasi na kukesha,kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi,kama simba angurumaye,huzunguka zunguka akitafuta mtu ammeze)
mapicha time eti eeeh???? haya twende sasa
nani hawa eti???
wamejificha eti...........
Mungu ndie ajuaye........... Sitasahau fadhili zake maana amekuwa mwaminifu.... wala si kwamba sisi tu hodari, au tumetenda zaidi ni Neema tuu.
duu!! ndo utaelewa why i love high heels ha!ha!ha!
NAWAPENDA MNOOOOO